Edinburgh

Edinburgh (kwa Kigaeli: Dùn Èideann) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa pili wa Uskoti wenye wakazi 435,790 (2005).

Mji uko kwenye pwani ya mashariki ya Uskoti kwenye mdomo wa mto Forth baharini.

Edinburgh
Princes Street mjini Edinburgh

Boma la Edinburgh liko katikati ya mji kwenye kilima kikali.

Edinburgh imejulikana kote Ulaya kwa sababu ya sherehe yake ya maigizo inayofanyika kila mwaka na washiriki elfu kadhaa.

Edinburgh
Mji wa Edinburgh

Historia

Boma lilianzishwa kabla ya karne ya 7 BK. Mji ulianza kukua kando la boma. Mwaka 1437 umekuwa mji mkuu wa Uskoti badala ya Perth. Ilikuwa pia mahali pa kukutana kwa bunge la Uskoti liliopata jengo lake la pekee mwaka 1639. Baada ya maungano ya Uingereza na Uskoti mwaka 1707 hapakuwa tena na serikali au bunge la pekee hadi 1999 mwaka wa kurudishwa bunge na serikaliya kijimbo kwa Uskoti. Edinburgh imekuwa tena mji mkuu wa angalau wa jimbo linalojitawala katika mambo ya ndani.

Picha za Edinburgh

Watu maarufu

Viungo vya nje

Edinburgh 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Edinburgh  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Edinburgh kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Edinburgh HistoriaEdinburgh Picha za Edinburgh Watu maarufuEdinburgh Viungo vya njeEdinburghBahariKinywaMjiMji mkuuUskoti

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mohammed Gulam DewjiGoogleRayvannyMwezi mwandamoRamadan (mwezi)UturukiMtakatifu PauloMachweoXXXTentacionNduguHistoria ya Afrika KusiniKiunguliaUfugaji wa kukuIntanetiNomino za wingiUandishi wa barua ya simuNdoo (kundinyota)Afrika Mashariki 1800-1845Agano la KaleMunguWapareUdongoSiasaUmoja wa AfrikaSolidarityKuhani mkuuNgekewaFaraja KottaWallah bin WallahAmri KumiTajikistanMbossoLionel MessiNafsiWangoniMuungano wa Tanganyika na ZanzibarUgonjwa wa uti wa mgongoJumapili ya matawiSayansiLahajaLughaMuhammadSintaksiKishazi tegemeziMkoa wa MwanzaTashihisiHifadhi ya NgorongoroMkoa wa KataviDhima ya fasihi katika maishaMkoa wa NjombeUmoja wa MataifaTwigaAlbert EinsteinUgandaKitandaNg'ombeSheriaVita baridiWahayaSadakaPasaka ya KiyahudiUshairiMohamed HusseinMafarisayoMauaji ya kimbari ya RwandaManeno sabaPesaKelvin Pius JohnUsafi wa mazingira🡆 More