je Wajua

Kutoka kwenye mkusanyiko wa makala za Wikipedia:

Aprili 18, 2021

Ngorongoro

  • ... kwamba Hifadhi ya Ngorongoro imepokewa katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO?
  • ... kwamba Asha-Rose Mtengeti Migiro ni mwanasiasa wa kwanza kutoka nchini Tanzania aliyepata kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa?
  • ... kwamba Septemba 1752 ilikosa siku kumi na moja? Katika Dola la Uingereza, ulikuwa mwaka pekee wenye siku 355, kwani Septemba 3-13 zilirukwa wakati Dola lilipopitisha kalenda ya Gregori.
  • ... kwamba Samia Hassan Suluhu ni rais wa kwanza mwanamke Afrika ya Mashariki? Aliapishwa kuwa rais mara baada ya kifo cha mtangulizi wake, John Pombe Magufuli.



  • Tags:

    🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

    UshogaAsidiMalipoMkoa wa ManyaraTajikistanNdoaTetekuwangaSamia Suluhu HassanUkoloniVipaji vya Roho MtakatifuJakaya KikweteKiunzi cha mifupaKunguniUhuru wa TanganyikaWiktionaryHassan bin OmariIndonesiaKiambishiJamhuri ya Watu wa ZanzibarMethaliMtandao wa kompyutaMziziDodoma (mji)MaghaniMpwaVielezi vya idadiPandaNahauUlemavuLilithBinadamuMsukuleOrodha ya milima mirefu dunianiBarua rasmiMombasaMisemoAunt EzekielKukuOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaMuzikiChama cha MapinduziWamasoniWazaramoMuungano wa Tanganyika na ZanzibarKadi ya adhabuUfahamuMaana ya maishaSaida KaroliOrodha ya Watakatifu wa AfrikaOrodha ya milima ya TanzaniaShikamooAzimio la kaziMafuta ya wakatekumeniTanganyikaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniDakuWilaya za TanzaniaMichelle ObamaZama za ChumaNyweleWilliam RutoShomari KapombeVipera vya semiMwenge wa UhuruHadhiraKombe la Dunia la FIFAPentekosteNuru InyangeteMapambano kati ya Israeli na PalestinaPasifikiWangoniMoto🡆 More