Asha-Rose Mtengeti Migiro: Mwanasiasa Mtanzania, alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Asha-Rose Mtengeti Migiro (* 1956) aliwahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

Alipewa cheo hicho na Katibu Mkuu Ban Ki-moon tarehe 5 Januari 2007.

Asha-Rose Mtengeti Migiro: Mwanasiasa Mtanzania, alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Asha-Rose Migiro
Asha-Rose Mtengeti Migiro: Mwanasiasa Mtanzania, alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Migiro pamoja na Katibu Mkuu wa UM, Ban Ki-moon.

Hadi kuteuliwa kwa cheo cha UM alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania tangu Januari 2006. Wajibu huo alipewa na rais Jakaya Kikwete aliyemteua kumfuata katika Wizara ya mambo ya nje iliyoshikwa awali na Kikwete mwenyewe.

Chini ya rais Benjamin Mkapa Migiro alikuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Alikuwa mbunge kwa njia ya kiti maalumu cha wanawake.

Kabla ya kujiunga na siasa alifundisha kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Alisoma Shahada ya Awali na Shahada ya uzamili hukohuko Dar es Salaam[onesha uthibitisho]

Mwaka 1992 akaongeza Shahada ya udaktari wa sheria kwenye Chuo kikuu cha Konstanz (Ujerumani). Akarudi Tanzania alipoanza kufundisha. Akawa mwanachama wa CCM.

Akiwa Mwislamu aliolewa na Cleophas Migiro; wana watoto wawili wa kike[onesha uthibitisho].

Kwa sasa Asha Rose Migiro ameteuliwa kuwa waziri wa katiba na sheria wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pia ni mke wa Ritchie Lunyonga[onesha uthibitisho].

Viungo vya Nje

Marejeo

Tags:

195620075 JanuariBan Ki-moonCheoKatibu Mkuu wa Umoja wa MataifaTareheUmoja wa Mataifa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Zama za ChumaWikipedia ya KiswahiliUpanga MagharibiTamthiliaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNg'ombeMadiniBendera ya TanzaniaHekalu la YerusalemuSokoAmfibiaDolar ya MarekaniKiambishiUhindiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaMazungumzoMariooMuda sanifu wa duniaUfahamuWanyama wa nyumbaniMichezoWabunge wa Tanzania 2020MalipoMkoa wa KageraWinguKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniNomino za dhahaniaMwislamuFasihi andishiVivumishiKiboko (mnyama)KonyagiKiarabuRais wa MarekaniMuundoWema SepetuKiraiMunguUandishi wa inshaDivaiMkoa wa NjombeDiniKura ya turufuNetiboliSakramentiFbAina za udongoVitendawiliMweziMnazi (mti)Orodha ya Magavana wa TanganyikaAnwaniOrodha ya kampuni za TanzaniaNafsiUumbajiMiunguDodoma (mji)KiingerezaRoho MtakatifuKidole cha kati cha kandoNgonjeraUbongoMazingiraMkoa wa IringaLigi Kuu Tanzania BaraSteven KanumbaFonimuIsraelMkoa wa PwaniViwakilishi vya sifaBahatiMashuke (kundinyota)Abedi Amani Karume🡆 More