Jumanne: Moja ya siku saba za wiki

Jumanne ni siku ya tatu ya katika juma (wiki) ya siku saba yenye asili ya kiyahudi-kikristo.

Iko kati ya siku za Jumatatu na Jumatano.

Kiswahili, Kiarabu na utamaduni wa Kiislamu

Katika lugha ya Kiswahili jina la siku lina namba "4" ndani yake. Hii ni dokezo la asili ya Kiswahili katika utamaduni ya Kiislamu pasipo na athira ya Uyahudi unaoanza hesabu baada ya sikukuu ya Kiislamu ya Ijumaa ambayo ni siku ya sala ya pamoja: Jumamosi kama siku ya kwanza baada ya Ijumaa, Jumapili kama siku ya pili, Jumatatu kama siku ya tatu n.k.. Tabia hii katika Kiswahili ni ya pekee hasa kwa sababu Kiarabu ambacho ni lugha ya Korani takatifu na lugha ya kimataifa ya Waislamu kinafuata hesabu ya Kiyahudi na kuiita siku "ya tatu" (ثلاثاء - thalatha).

Lugha nyingi za nchi za Kiislamu zafuata kawaida ya Kiarabu na kuiita "siku ya tatu", kwa mfano Kiindonesia (selasa - tatu) au Kiajemi (Farsi) (سه‌شنب - se shanbe tatu jumamosi).

Katika lugha za Ulaya jina la siku hutunza kumbukumbu ya miungu iliyoabudiwa zamani za dini za Kiroma au Kigermanik kama vile Kifaransa "mardi" (siku ya Mars) au Kiingereza "Tuesday" (siku ya Tiu).

Jumanne: Moja ya siku saba za wiki  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jumanne kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Siku za juma (wiki)
Jumapili - Jumatatu - Jumanne - Jumatano - Alhamisi - Ijumaa - Jumamosi

Tags:

JumaJumatanoJumatatuUkristoUyahudi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UjimaSikioHadithiViwakilishi vya pekeeMkoa wa MaraZama za MaweKigogo (Kinondoni)Kassim MajaliwaMbadili jinsiaIsimuMmeaChemsha BongoKitomeoAmri KumiUtataBiblia ya KikristoUgonjwa wa kuambukizaNdovuHedhiNenoNandyMajiJiniKalenda ya KiislamuUtamaduni wa KitanzaniaKamusiUkwapi na utaoRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniLongitudoMisimu (lugha)BinadamuBiasharaUkimwiAfyaBunge la TanzaniaJohn Raphael BoccoMatumizi ya LughaMaarifaUtoaji mimbaYoung Africans S.C.Haki za watotoBungeDodoma MakuluKiarabuUfilipinoHisiaBiashara ya watumwaVivumishi vya -a unganifuHifadhi ya mazingiraKiimboDiamond PlatnumzRwandaPesaMwanza (mji)NathariIniKishazi huruMlongeHarmonizeNetiboliKilimanjaro (volkeno)Madawa ya kulevyaAsili ya KiswahiliMunguOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMajira ya baridiOrodha ya Watakatifu WakristoAbrahamuBaraza la mawaziri TanzaniaHeshimaDemokrasiaLatitudo🡆 More