Jermaine Dupri Mauldin (anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama Jermaine Dupri au J.D.; amezaliwa 23 Septemba 1972) ni mshindi wa Tuzo ya Grammy, akiwa kama msanii bora wa rekodi, mtayarishaji, mtunzi wa nyimbo, na mwigizaji kutoka nchini Marekani.
Jermaine Dupri | |
---|---|
Dupri mnamo 2009 | |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Jermaine Dupri Mauldin |
Pia anajulikana kama | J.D. |
Amezaliwa | 23 Septemba 1972 |
Asili yake | Atlanta, Georgia, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Mtayarishaji wa rekodi, mtunzi wa nyimbo, rapa |
Miaka ya kazi | 1987–mpaka sasa |
Studio | So So Def Recordings, Island Urban Music, TAG Records |
Amefanya kazi na wasanii wengi sana. Wasanii hao ni pamoja na Mariah Carey, Nelly, Janet Jackson, Chanté Moore, Tamia, Mya, Kris Kross, na wengine wengi tu, huko nchini Marekani.
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jermaine Dupri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Jermaine Dupri, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.