James Prescott Joule

James Prescott Joule (24 Desemba 1818 – 11 Oktoba 1889) alikuwa mwanafizikia kutoka nchini Uingereza aliyejipatia ridhiki za maisha yake kwa kuendesha kiwanda cha bia.

James Prescott Joule
James Prescott Joule

Alichangia mengi kuhusu elimu ya umeme na fizikia ya joto. Kuanzia 1840 alifanya majaribio alimotambua ya kwamba umeme ukipita kwenye kipitishio kama waya inakipashia joto. Baada ya majaribio mengine na vipimo vingi alitamka kanuni ya Joule: joto la kipitishio linalingana na zao la namba mraba ya mkondo wa umeme (ampea) na ukinzani wa umeme (omu)).

Kizio cha joto kilitwa baadaye "jouli" kwa heshima yake.

Pamoja na William Thomson aliendelea kuchunguza uhusiano kati ya gesi na joto. Wligundua ya kwamba gesi yenye nafasi ya kupanua inapoa yaani kupunguza joto. Alitmia ujuzi huu kwa kubadilisha gesi kuwa kiowevu na kutengeneza mashine za kupasha baridi.

Tags:

11 Oktoba1818188924 DesembaFizikiaUingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kishazi huruFasihi andishiTamathali za semiAntibiotikiNdoaOrodha ya Marais wa TanzaniaSakramentiMtakatifu PauloShairiMange KimambiPunyetoUbadilishaji msimboMbwana SamattaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMichezoTaswira katika fasihiKanisaMamaKiwakilishi nafsiArsenal FCMamba (mnyama)Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMartin LutherImaniJinaNguzo tano za UislamuMfumo wa upumuajiTanzaniaMatumizi ya LughaNg'ombe (kundinyota)Mapambano kati ya Israeli na PalestinaBaraza la mawaziri TanzaniaDubai (mji)KitenziNetiboliJamhuri ya Watu wa ZanzibarMapambano ya uhuru TanganyikaMkoa wa MaraOrodha ya Watakatifu WakristoMmeaSiafuNyegeOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaWanyakyusaUkristoHussein Ali MwinyiInsha ya wasifuStadi za maishaChristopher MtikilaMfumo wa mzunguko wa damuMaradhi ya zinaaUtendi wa Fumo LiyongoUtumbo mwembambaKondomu ya kikeWayback MachineNg'ombeAla ya muzikiMtume PetroHisiaKipazasautiUNICEFLafudhiMlima wa MezaIsraeli ya KaleMkoa wa MwanzaMagonjwa ya kukuNguruweBiashara ya watumwaNusuirabuMagharibiWarakaMzabibuApril JacksonIfakaraAndalio la somo🡆 More