Isaka wa Cordoba (alifariki Cordoba, Hispania, 3 Juni 851) alikuwa mmonaki wa Cordoba aliyeuawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu aliungama hadharani imani yake ya Kikristo .
Kabla ya kujiunga na monasteri alikuwa na cheo kikubwa ikulu.
Baada ya miaka mitatu, dhuluma ilipoanza, alijitokeza kwa hiari yake mahakamani kujadiliana na hakimu kuhusu ukweli wa dini, na kwa ajili hiyo alipewa adhabu ya kifo.
Taarifa zake ziliandikwa na Eulogi wa Kordoba .
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Isaka wa Cordoba, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.