Eulogi Wa Cordoba

Eulogi wa Cordoba (800 hivi -Cordoba, Hispania, 11 Machi 859) alikuwa padri aliyekatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu aliungama hadharani imani yake ya Kikristo na alimficha Leokrisya, binti aliyeacha Uislamu ajiunge na Kanisa.

Eulogi Wa Cordoba
Kifodini chake kilivyochorwa katika kanisa kuu la Cordoba.

Kabla ya hapo aliandika taarifa mbalimbali, kama zile za kifodini cha Flora na Maria.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Machi.

Tazama pia

Tanbihi

Maandishi

Vyanzo

  • Tolan, John, Medieval Christian Perceptions of Islam, New York: Routledge, 2000. ISBN|0-8153-1426-4

Viungo vya nje

Eulogi Wa Cordoba  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Eulogi Wa Cordoba Tazama piaEulogi Wa Cordoba TanbihiEulogi Wa Cordoba MaandishiEulogi Wa Cordoba VyanzoEulogi Wa Cordoba Viungo vya njeEulogi Wa Cordoba11 Machi800859BintiCordoba, HispaniaHispaniaImaniKanisaKichwaKikristoLeokrisyaPadriUislamuWaislamu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya milima ya AfrikaDubai (mji)Ubadilishaji msimboMazingiraVitendawiliHurafaUtumwaMkoa wa TaboraMaambukizi nyemeleziVivumishi vya pekeeDini asilia za KiafrikaMwana FASimbaPapaAlomofuMaajabu ya duniaUtalii nchini KenyaMbeya (mji)TanzaniaShinikizo la juu la damuUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaJay MelodyLigi Kuu Uingereza (EPL)TamthiliaVivumishi vya -a unganifuViwakilishi vya idadiWilaya ya NyamaganaUjerumaniMimba za utotoniKiingerezaMuundoTungo kiraiUNICEFMandhariWamasaiKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniSensaMafurikoJinaWanyamaporiBunge la TanzaniaMahakama ya TanzaniaOrodha ya Marais wa UgandaWapareMtaalaMizimuMashuke (kundinyota)Jamhuri ya Watu wa ChinaTarbiaNomino za kawaidaMajigamboMitume wa YesuVivumishiMobutu Sese SekoRamaniSkeliHistoria ya uandishi wa QuraniMkwawaPijiniWizara za Serikali ya TanzaniaNathariHoma ya matumboSomo la UchumiJohn MagufuliMwanaumeBendera ya KenyaLionel MessiUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiJumuiya ya Afrika MasharikiNgamiaNyegeAnwaniPasaka🡆 More