Sisenandi

Sisenandi (Beja, Ureno, au Badajoz, Extremadura - Cordoba, Hispania, 851) alikuwa shemasi wa Cordoba aliyekatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu ya imani yake ya Kikristo .

Taarifa zake ziliandikwa na Eulogi wa Kordoba .

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Julai.

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

  • Tolan, John, Medieval Christian Perceptions of Islam, New York: Routledge, 2000. ISBN|0-8153-1426-4
Sisenandi  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

851Cordoba, HispaniaExtremaduraHispaniaImaniKichwaKikristoShemasiUrenoWaislamu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Nomino za dhahaniaGeorDavieRashidi KawawaAlama ya barabaraniMaana ya maishaChumaDhahabuMalawiMagavanaUtegemezi wa dawa za kulevyaBungeTungoAmfibiaFonimuUkraineOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaHaki za wanyamaMikoa ya TanzaniaUsafi wa mazingiraHoma ya matumboAlfabeti ya kifonetiki ya kimataifaLugha rasmiMilki ya OsmaniZama za MaweAbedi Amani KarumeMeliMuziki wa dansi wa kielektronikiAngahewaNgono KavuVirutubishiVNdovuAfyaMuda sanifu wa duniaUtumbo mwembambaManchester United F.C.WaluhyaMpira wa miguuMofolojiaFarasiMungu ibariki AfrikaSomo la UchumiMbuga za Taifa la TanzaniaMachweoWangoniTungo sentensiTupac ShakurMkoa wa TangaMfumo wa lughaHisiaChakulaPumuNileHadithiTanganyikaMisriMkoa wa IringaSwalahElimuTumainiUtendi wa Fumo LiyongoBibliaIraqLionel MessiSimbaBendera ya TanzaniaMagonjwa ya kukuVitenziJumaJamhuri ya KongoMaradhi ya zinaaMisemoUchimbaji wa madini nchini TanzaniaYesuNg'ombeHarmonizeVitenzi vishirikishi vikamilifu🡆 More