Historia Ya Mpira Wa Kikapu

Historia ya Mpira wa Kikapu ilianza baada ya kugunduliwa mnamo mwaka 1891 huko springfield, Massachusetts na mwalimu wa mazoezi ya mwili James Naismith kutoka huko kanada amabapo ilijulikana kuwa ni mchezo unaochezwa bila ya kupatikana majeraha mengi kwa wachezaji wake ukilinganisha na mpira wa miguu.

Naismith alikuwa na umri wa miaka 31, aliyehitimu masomo yake, pindi alipogundua mchezo huu wa ndani ili kujiweka sawa na michezo ya majira ya baridi. Mchezo huu ulikuwa sana na kujulikana na watu wengi katika karne ya 20 na kuendelea, mara ya kwanza nchini marekani na hadi sehemu mbalimbali za dunia.

Historia Ya Mpira Wa Kikapu
Dr. James Naismith akiwa na mpira wa kikapu na kikapu.Hii ni kuonesha Historia ya mchezo huu.

Baada ya Mpira wa Kikapu kuanza kuchezwa sana katika vyuo vya kati huko marekani ndipo ulipoanza kuchezwa rasmi katika maeneo tofauti tofauti nchini humo. Taasisi ya mpira wa kikapu ijulikanayo kama National Basketball Association (NBA), ilianzishwa mnamo mwaka 1946, na kuwa taasisi kubwa sana na inayo ingiza mabilioni ya pesa na kuajiri watu wengi kipindi cha mwishoni mwa karne hio. Na hivyo Mpira wa Kikapu kuanza kuchezwa na watu wengi nchini marekani na kuwa sehemu kubwa ya maisha ya watu nchini humo.

Tags:

KanadaMpira wa miguuSpringfield, Massachusetts

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Magavana wa TanganyikaKonyagiKanda Bongo ManHomoniUtumwaBaraWilaya ya NyamaganaWakingaSimu za mikononiFisiHuduma ya kwanzaHifadhi ya SerengetiViwakilishiMjombaMkoa wa KigomaKariakooMkoa wa KataviKondomu ya kikeClatous ChamaSteven KanumbaNg'ombe (kundinyota)Wilaya ya KinondoniKitenzi kishirikishiMaishaSikukuu za KenyaAgano la KaleLionel MessiUkatiliKutoa taka za mwiliMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaPijini na krioliBurundiTanganyika (maana)RamaniJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaAmfibiaNafsiKishazi tegemeziPamboBongo FlavaOrodha ya makabila ya KenyaSiriSadakaUwanja wa Taifa (Tanzania)UKUTAShairiUrusiTawahudiChakulaDubai (mji)Tume ya Taifa ya UchaguziMivighaLuhaga Joelson MpinaMisemoMchwaJoyce Lazaro NdalichakoHalmashauriIsraeli ya KaleMawasilianoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuDaktariOrodha ya milima ya TanzaniaKinembe (anatomia)Historia ya KanisaUkimwiSaidi Salim BakhresaVitenzi vishirikishi vikamilifuBiblia ya KikristoWanyaturuVielezi vya idadiHaki za wanyamaUajemiMkoa wa PwaniJinaVivumishi vya pekeeMvua🡆 More