Mpira Wa Kikapu Misri

Shirikisho la mpira wa Kikapu nchini Misri Ni Shirikisho la Mpira wa Kikapu Nchi Misri linaloongozwa na baraza la mchezo wa mpira wa vikapu.

Ilijiunga na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Kikapu FIBA ​​mnamo mwaka 1934.

Historia

Iilianzishwa mnamo mwaka 1934, na walikuwa wanachama wa FIBA ​​Ulaya, kwa vile ukanda wa FIBA ​​Afrika haukuanzishwa hadi 1961.

Ofisi

Ofisi za Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Misri zinapatikana kairo.

Timu za wanaume

Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Misri lililenga timu ya taifa ya wanaume ya mpira wa vikapu Nchi Misri, na mafanikio yao yakiwemo nafasi ya 9 katika Olimpiki ya Majira ya mwaka 1952, na nafasi yake ya 5 kwenye Mashindano ya Dunia ya mwaka 1950 FIBA. Katika Mashindano ya FIBA ​​Afrika, Misri inashikilia rekodi ya medali 16. Timu ya wanaume ya Misri ilishiriki Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mara saba. Katika mwaka 1984 na mwaka 1988, Misri ilikuja katika nafasi ya 12 katika hafla zote mbili.

Timu ya wanawake

Timu ya taifa ya mpira wa vikapu ya wanawake ya Misri ilishinda Ubingwa wa FIBA ​​Afrika kwa Wanawake mwaka 1966 na mwaka 1968, na kushika nafasi ya pili mwaka 1970, kama Jamhuri ya Muungano wa Kiarabu.

Angalia pia

Marejeo

Tags:

Mpira Wa Kikapu Misri HistoriaMpira Wa Kikapu Misri OfisiMpira Wa Kikapu Misri Timu za wanaumeMpira Wa Kikapu Misri Timu ya wanawakeMpira Wa Kikapu Misri Angalia piaMpira Wa Kikapu Misri MarejeoMpira Wa Kikapu MisriMisriMpira wa kikapu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

FasihiUmoja wa MataifaNyati wa AfrikaMafurikoWanyakyusaKiswahiliMbagalaMkanda wa jeshiKalenda ya KiislamuMziziMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiGoba (Ubungo)RaiaNamba tasaHektariKishazi tegemeziWapareMbwana SamattaUfugaji wa kukuWaheheSilabiLongitudoNguruweRita wa CasciaAlama ya uakifishajiChuo Kikuu cha Dar es SalaamJokofuMnara wa BabeliFisiPemba (kisiwa)Vitenzi vishiriki vipungufuBiasharaBendera ya ZanzibarMuundo wa inshaOrodha ya Marais wa MarekaniBibliaManchester CityRoho MtakatifuUchawiSaidi Salim BakhresaBaraza la mawaziri TanzaniaRose MhandoKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniKiolwa cha anganiMapambano ya uhuru TanganyikaKisimaAlama ya barabaraniAlfabetiPijiniKomaWilayaTanzaniaKoroshoStephane Aziz KiKihusishiUaMaudhui katika kazi ya kifasihiShahawaKutoka (Biblia)Kigoma-UjijiMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaNyukiFananiKupatwa kwa JuaKipindupinduRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniLahajaDubaiArsenal FCUzazi wa mpango kwa njia asiliaShairiMsamiatiMajira ya mvuaKifaru🡆 More