Shirikisho la Mpira wa Kikapu Rwanda (Kingereza: Rwandan Amateur Basketball Federation, Kifaransa: Fédération Rwandaise de Basketball Amateur ) ni bodi inayosimamia mpira wa kikapu nchini Rwanda.
Inaendesha timu ya taifa ya mpira wa kikapu Rwanda vile vile NBL daraja la juu na ligi nyingine.
Mpira wa kikapu nchini Rwanda uliletwa mwaka 1930, Na mapadri wa kikatoloki pia mchezo wa kwanza ulichezwa katika shule ya upili uko Mkoa wa kusini. Baada ya nchi kupata uhuru mwaka 1962, timu mpya ziliundwa jeshini na baadhi ya taasisi za umma. Mwaka 1974, shirikisho la mpira wa kikapu Rwanda lilizaliwa na miaka mitatu mbele ligi ya kwanza kitaifa ilianzishwa.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Shirikisho la Mpira wa Kikapu Rwanda, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.