Hangul

Hangul ni alfabeti ya Kikorea.

Iliundwa mnamo mwaka 1443 kwa amri ya mfalme Sejong alliyeona ya kwamba maandishi ya Kichina haifai kwa lugha ya Korea. Nchini Korea ya Kaskazini Hangul huitwa Chosŏn'gŭl.

Hangul
Hangul

Hangul ina alama za kimsingi 24 kwa konsonanti na vokali. Lakini alama hizi haziandikwi mfululizo kama kaika alfabeti ya Kilatinilakini zinapangwa katika alama za herufi za silabi moja kama 한 han.

Hiyo 한 han inaonekana kama alama 1 lakini ali halisi ni herufi tatu: ㅎ h, ㅏ a na ㄴ n. Kila alama kwa silabi inashika ndani yake herufi 2 hadi 6. Alama za silab zinaweza kuandikwa kama mstari kuanzia kushoto kwenda kulia au kutoka juu kwenda chini, kama maandishi ya Kichina.

Tags:

AlfabetiKikoreaKoreaKorea ya Kaskazini

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UbongoAntibiotikiTume ya Taifa ya UchaguziMazingiraMahakamaSimu za mikononiSiafuMkoa wa SimiyuKiongoziAnwaniInsha ya wasifuNduniVitamini CHoma ya matumboDini asilia za KiafrikaNyukiMkoa wa SongweBibliaWikipediaAlama ya uakifishajiWilaya ya Nzega VijijiniSinagogiUyahudiMkanda wa jeshiUNICEFLafudhiMaandishiKoloniArusha (mji)AAlfabetiUislamuWanyamaporiMatumizi ya lugha ya KiswahiliUhifadhi wa fasihi simuliziJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoVitenzi vishiriki vipungufuUtumbo mwembambaWarakaNilePasakaKhadija KopaMarekaniNdoa katika UislamuOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Marais wa TanzaniaWakingaEdward SokoineJumuiya ya MadolaUenezi wa KiswahiliChama cha MapinduziBahari ya HindiJinsiaNgono zembeMkoa wa KataviFisiRedioMkoa wa PwaniDivaiSaratani ya mlango wa kizaziTafakuriVidonge vya majiraAfrika ya Mashariki ya KijerumaniNomino za pekeeMungu ibariki AfrikaUkimwiUgonjwaUkristo nchini TanzaniaUtoaji mimbaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniJamii🡆 More