Haki Za Wanawake: Madai kwa ajili ya haki za wanawake na wasichana duniani kote

Haki za wanawake ni haki za binadamu zinazowalenga zaidi wanawake (na wasichana) duniani kote.

Vuguvugu la haki za wanawake lilianza karne ya 19. Haki hizo zinaungwa mkono na sheria, mila na desturi za jamii mbalimbali, ambapo katika nchi nyingine, haki hizo hazizingatiwi na hivyo hukandamizwa. Haki za wanawake zinatofautiana kutoka jamii moja kwenda nyingine kuendana na historia, utamaduni na desturi zilizozoeleka.

Masuala ambayo kwa kawaida huhusishwa na dhana ya haki za wanawake ni pamoja na uhuru wa kujitawala, kutokuwa na unyanyasaji wa kijinsia, kupiga kura, kushika nafasi za uongozi, umiliki wa mali na kuingia mikataba ya kisheria.

Tazama pia

Marejeo

Haki Za Wanawake: Madai kwa ajili ya haki za wanawake na wasichana duniani kote  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haki za wanawake kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DuniaHaki za binadamuMwanamke

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya vyama vya siasa TanzaniaKanye WestWashambaaKanda Bongo ManOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaVielezi vya mahaliKisononoVita Kuu ya Kwanza ya DuniaChuo Kikuu cha Dar es SalaamOrodha ya viongoziMwanaumeMkoa wa SongweNomino za jumlaMasharikiVidonda vya tumboWahaSumakuUchawiOrodha ya nchi za AfrikaSayansiMilanoMahakamaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)MilaVitenzi vishiriki vipungufuHadhiraBongo FlavaAMeliUkabailaKataRisalaCleopa David MsuyaLeonard MbotelaUgonjwa wa kuharaMafumbo (semi)MahindiMungu ibariki AfrikaHafidh AmeirRita wa CasciaPapa (samaki)MaudhuiBenjamin MkapaBikira MariaMeta PlatformsOrodha ya Marais wa MarekaniUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMuhimbiliTanganyika (ziwa)UlayaMaana ya maishaNduniHussein Ali MwinyiMkoa wa SingidaMachweoMishipa ya damuYesuIniOrodha ya milima ya AfrikaMikoa ya TanzaniaNambaZiwa ViktoriaMaadiliNandyWilayaKiolwa cha anganiTafsiriSikukuu za KenyaAbedi Amani KarumeTamathali za semiTaswira katika fasihiManispaaChakula🡆 More