Fuvu

Fuvu (pia fuu) ni neno linalotumiwa hasa kuhusu mifupa ya kichwa cha binadamu na wanyama wengi ambayo ni maalumu kwa ajili ya kulinda ubongo.

Fuvu
Fuvu la binadamu katika 3D.
Fuvu
Fuvu la kichwa na yaliyomo.
Fuvu
Fuvu la kichwa upande wa mbele.
Fuvu
Fuvu la kichwa pembeni.

Kila mwanadamu ana fuvu la kichwa; usingekuwa na fuvu usingeweza kuishi na kichwa kisingekuwa na umbo maalum.

Fuvu ni muhimu sana ili ubongo ufanye kazi yake vizuri. Maneno yanayo tumika kufafanua pande za fuvu utosi,kishogo na paji. Fuvu la nazi linaitwa zaidi kifuu.

Fuvu Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fuvu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BinadamuKichwaMifupaNenoUbongoWanyama

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

RamaniMohammed Gulam DewjiJogooHadithiWangoniMwenyekitiHistoria ya AfrikaShirikisho la Afrika MasharikiHistoria ya TanzaniaMitume na Manabii katika UislamuWikimaniaBinamuFutariMpira wa miguuMichelle ObamaBoris JohnsonBawasiriBahari ya HindiVipera vya semiKitenzi kikuuAntibiotikiKukuLugha ya programuMsukuleKiunzi cha mifupaKairoNguzo tano za UislamuWema SepetuKisononoViwakilishi vya urejeshiNomino za wingiMkoa wa RukwaNyweleKontuaMkoa wa ShinyangaAzimio la ArushaNominoMtaalaShengMaumivu ya kiunoNgamiaKaramu ya mwishoUgonjwa wa kuharaMamlaka ya Mapato ya TanzaniaPasaka ya KiyahudiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSaratani ya mapafuDamuHistoria ya ZanzibarTungo kishaziDaudi (Biblia)Afrika KusiniMmeaNomino za kawaidaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaSikioVichekeshoKwaresimaTabainiSisimiziUoto wa Asili (Tanzania)Ufufuko wa YesuUkomboziVivumishi vya kumilikiFutiOrodha ya Magavana wa TanganyikaUandishiRamadan (mwezi)Upinde wa mvuaRayvannyKigoma-UjijiMunguMbiu ya PasakaEe Mungu Nguvu Yetu🡆 More