Tunda Nazi

Nazi ni tunda la mbegu la mnazi.

Ina ganda la nje, ganda ngumu au mfuu wa ndani, nyama ya mbegu na utomvu ndani ya uwazi wa mbegu.

Tunda Nazi
Picha ya mnazi na tunda lake la nazi
Tunda Nazi
Nyuzi zinaondolewa katika ganda la nazi (Sri Lanka)
Tunda Nazi
Kutengeneza mikeka kutoka nyuzi za nazi (Sri Lanka)
Tunda Nazi
Nazi mtini zikiiva

Ina matumizi mengi katika maisha ya binadamu.

Nyama ya mbegu

  • Nyama ya mbegu wake yake huliwa bichi.
  • Nyama iliyokauka huitwa nguta (au: mbata). Nguta hutumiwa kwa kutengeneza mafuta ya kulika.

Ganda la mbegu

  • Ganda la nje ni ya nyuzi nyingi. Zinatumiwa kwa kutengeneza mikeka, kamba na vitu vingi vingine.
  • Ganda la ndani ni ngumu. Hutumiwa nyumbani kama chombo cha kikombe au cha kukorogea chakula. Kutokana na mlio wake likipigwa inatumika kama chombo cha muziki. Hutumiwa pia kama kuni. Inavaa vilevile kwa kutengeneza makaa.

Utomvu

  • Utomvu ndani ya mbegu ni kinywaji safi na cha afya.
  • Utomvu ukichachuka ni pombe nyepesi inayoitwa "mnazi"
  • Utomvu ni safi kabisa wakati mbegu unafunguliwa hivyo unaweza kusaidia kuongeza damu mwilini mwa mwanadamu kama dawa lenyewe halipo.

Tags:

GandaMbeguMnazi (mti)TundaUtomvu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Jumuiya ya MadolaUislamuKifua kikuuVipera vya semiUbatizoLugha rasmiDodoma (mji)Cristiano RonaldoShelisheliNenoUajemiMahariPasaka ya KikristoMtandao wa kompyutaOsama bin LadenUenezi wa KiswahiliFutariUtawala wa Kijiji - TanzaniaUhuruKilimanjaro (Volkeno)Nomino za kawaidaMartin LutherDaftariMkoa wa Unguja Mjini MagharibiLatitudoShetaniWamanyemaAdolf HitlerMagavanaKamusi za KiswahiliMethaliPijiniKipimajotoKupatwa kwa JuaLibidoAthari za muda mrefu za pombeDiego GraneseJinaShengLenziMajiTovutiUchimbaji wa madini nchini TanzaniaUtapiamloAli KibaUfugaji wa kukuMmeaOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoDar es SalaamDhambiNdoaMikoa ya TanzaniaVivumishi vya sifaPunyetoHadithiShambaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaIsraeli ya KaleMaishaHoma ya mafuaMishipa ya damuSanaaLugha ya piliChakulaAngahewaDamuMrisho NgassaMtiWaheheMwakaAina za udongoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuMuundoJumuiya ya Afrika MasharikiMsumbijiVihisishiKiambishi tamatiNgozi🡆 More