Ernst Haeckel: Mwanabiolojia wa Ujerumani, mwanasayansi wa asili, mwanafalsafa, daktari, na msanii (1834-1919)

Heinrich Philipp August Haeckel (Potsdam, 16 Februari 1834 - Jena, 9 Agosti 1919) alikuwa mtaalamu wa biolojia na falsafa kutoka nchini Ujerumani.

Ernst Haeckel: Mwanabiolojia wa Ujerumani, mwanasayansi wa asili, mwanafalsafa, daktari, na msanii (1834-1919)
Ernst Haeckel.

Utaalamu wake ulikuwa hasa katika zuolojia akakusanya, kueleza na kuzipa majina spishi elfu kadhaa za wanyama. Alijishughulisha na kazi za Charles Darwin, alitumia wakati mwingi kutangaza katika Ujerumani matokeo ya kazi ya Darwin.

Viungo vya nje

Ernst Haeckel: Mwanabiolojia wa Ujerumani, mwanasayansi wa asili, mwanafalsafa, daktari, na msanii (1834-1919) 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Ernst Haeckel: Mwanabiolojia wa Ujerumani, mwanasayansi wa asili, mwanafalsafa, daktari, na msanii (1834-1919)  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernst Haeckel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

16 Februari183419199 AgostiBiolojiaFalsafaJenaMtaalamuPotsdamUjerumani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MawasilianoKiambishi awaliUkristo nchini TanzaniaUNICEFKoroshoMkoa wa RukwaUzazi wa mpangoKiumbehaiAmfibiaNgiriMadhara ya kuvuta sigaraMazingiraMoscowKata za Mkoa wa Dar es SalaamLeonard MbotelaOrodha ya Watakatifu WakristoViwakilishi vya idadiMkoa wa SongweOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaHistoria ya AfrikaOrodha ya Marais wa MarekaniUbongoTiktokMsokoto wa watoto wachangaAina za manenoHistoria ya IranMsamiatiKabilaKiwakilishi nafsiUfahamuMagharibiHistoria ya ZanzibarDini asilia za KiafrikaMalariaUtamaduniNdoaMarekaniOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoLilithSitiariKarafuuHurafaFani (fasihi)Vidonda vya tumboAsidiBungePijiniMilanoUkristoMarie AntoinetteFisiNenoJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoViwakilishi vya kuoneshaMartin LutherBendera ya ZanzibarIsraelSayansi ya jamiiImaniMizimuKiswahiliWingu (mtandao)Bongo FlavaYanga PrincessKichochoMkoa wa MwanzaWilaya ya Nzega VijijiniUmoja wa MataifaAlizetiOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaKiingerezaNyukiTarbiaAfrikaMkoa wa Lindi🡆 More