Christian Boehmer Anfinsen (26 Machi 1916 – 14 Mei 1995) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani.
Hasa alichunguza uhusiano kati ya mfumo wa protini na athari zake mwilini. Mwaka wa 1972, pamoja na Stanford Moore na William Stein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christian Anfinsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Christian Anfinsen, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.