Chelyabinsk ni mji wa Urusi upande wa mashariki wa milima ya Ural na makao makuu ya mkoa wa Chelyabinsk Oblast.
Mji huwa na wakazi zaidi ya 1,100,000 kuna viwanda vingi.
Jina la mji lilitajwa mara ya kwanza mwaka 1736 wakati ule kulikuwa na boma la kirusi katika pori tu. Likanendelea kuwa mji mdogo lakini baada ya kuungwa na reli tangu karne ya 20 ilikua. Vita Kuu ya Pili ya Duni ilileta kuhamishwa kwa viwanda vya kijeshi hapa kwa sababu magharibi ya Urusi ilitekwa na Ujerumani wakati wa vita. .
Tarehe 15 Februari 2013 kimondo kilipasuka juu ya Chelyabinsk na kusababisha kiasi cha uharibifu.
Kigezo:Commons and category
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Chelyabinsk, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.