Bendera ya Burkina Faso ina milia miwili ya kulala ya nyekundu na ya kijani.
Katikati iko nyota ya pembetano ya rangi njano.
Hizi rangi za nyekundu-kijani-njano ni rangi za Umoja wa Afrika.
Bendera hii ilianzishwa rasmi Agosti 1984.
Kabla ya tarehe hii Burkina Faso ilitumia bendera ya zamani iliyoanzishwa 1960 wakati wa uhuru wa "Volta ya Juu".
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Bendera ya Burkina Faso, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.