Bashiru Ally: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Bashiru Ally Kakurwa (alizaliwa Wilaya ya Bukoba Vijijini, 1 Januari 1968) ni mwanasiasa nchini Tanzania.

Alichaguliwa kuwa katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi tarehe 31 Mei 2018.

Kabla ya kuwa katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Bashiru alikuwa mhadhiri katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Tarehe 26 Februari 2021 aliteuliwa na rais John Pombe Magufuli kuwa katibu mkuu kiongozi , lakini tarehe 31 Machi 2021 aliteuliwa na rais mpya Mama Samia Suluhu Hassan kuwa mbunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania .

Marejeo

Bashiru Ally: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bashiru Ally kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1 Januari1968MwanasiasaTanzaniaWilaya ya Bukoba Vijijini

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Dodoma (mji)Mtemi MiramboOrodha ya Marais wa TanzaniaFasihi andishiTiktokKiarabuStafeliJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaAgano la KaleTungo kishaziAfro-Shirazi PartyMkoa wa TaboraWadatogaKibodiDhima ya fasihi katika maishaKiumbehaiKanisaUajemi ya KaleNuktambiliMrisho MpotoKata za Mkoa wa Dar es SalaamSentensiViwakilishi vya pekeeUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020SerikaliUwanja wa Taifa (Tanzania)Wilaya ya Unguja Magharibi AHadithiTetekuwangaOrodha ya Magavana wa TanganyikaMpwaTarbiaKishazi tegemeziKihusishiLongitudoUbungoOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaTashihisiUfisadiFalsafaMungu ibariki AfrikaAfrika KusiniUislamuNdoo (kundinyota)MaghaniZuhuraWachaggaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaMisriJangwaChelsea F.C.Orodha ya majimbo ya MarekaniWilaya ya KinondoniMkanda wa jeshiKiwakilishi nafsiNafsiNamba tasaSintaksi24 ApriliMichezo ya watotoNishati ya mwangaNgiriMazingiraOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaUkoloniFBMishipa ya damuOrodha ya maziwa ya TanzaniaAdhuhuriMoshi (mji)NangaMwanamkeHoma ya mafua🡆 More