BASIC ni lugha ya programu.
Iliundwa na John George Kemeny na ilianzishwa tarehe 1 Mei 1964. Iliundwa ili kuumba programu. Leo tunatumia Mono BASIC. Ilivutwa na FORTRAN.
BASIC | |
---|---|
Shina la studio | namna : namna ya utaratibu inaozingatiwa kuhusu kipengee |
Imeanzishwa | Mei 1 1964 |
Mwanzilishi | John George Kemeny |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: ALGOL 60, FORTRAN II na JOSS Ilivuta: COMAL, Visual Basic, VisualBasic.NET, GRASS, AutoIt, AutoHotkey na batari Basic |
Mahala | Microsoft BASIC |
Tovuti | https://smallbasic-publicwebsite.azurewebsites.net/ |
Inaitwa BASIC kwa sababu ni kifupi cha "Beginners' All-purpose Symbolic Instruction Code".
Ilianzishwa 1 Mei 1964 nchini Marekani. Lakini John George Kemeny alianza kufanya kazi kuhusu BASIC mwaka wa 1960.
Namna ya BASIC ni namna ya utaratibu na inaozingatiwa kuhusu kipengee.
Sintaksia ya BASIC ni rahisi sana, kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, COBOL au C sharp. Ilivutwa na sintaksia ya FORTRAN, lugha ya programu nyingine.
Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
10 PRINT "Jambo ulimwengu !" 20 END
Programu kwa kupata factoria ya namba moja.
INPUT "INGIA NAMBA MOJA:", N F = 1 FOR I = 1 TO N F = F * I NEXT I PRINT "FACTORIA NI", F END
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article BASIC, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.