Cobol

COBOL ni lugha ya programu.

Iliundwa na Howard Bromberg, Howard Discount, Vernon Reeves, Jean E. Sammet, William Selden, Gertrude Tierney na Mary K. Hawes na ilianzishwa tarehe 18 Septemba 1959. Iliundwa ili kuumba programu kwa benki na biashara. Leo tunatumia COBOL 2014. Ilivutwa na C++.

COBOL
COBOL
Shina la studio namna : namna ya utaratibu

inaozingatiwa kuhusu kipengee

Imeanzishwa Septemba 18 1959 (1959-09-18) (umri 64)
Mwanzilishi Howard Bromberg, Howard Discount, Vernon Reeves, Jean E. Sammet, William Selden, Gertrude Tierney, Mary K. Hawes
Ilivyo sasa Ilivutwa na: AIMACO, C++, COMTRAN, Eiffel, FACT, FLOW-MATIC, Smalltalk

Ilivuta: CobolScript, EGL, PL/I, PL/B

Mahala Short Range Committee
Tovuti https://www.cobol-it.com/

Inaitwa COBOL kwa sababu ni kifupi cha maneno "common business-oriented language"

Historia

Ilianzishwa 18 Septemba 1959 nchini Marekani. Lakini Howard Bromberg, Howard Discount, Vernon Reeves, Jean E. Sammet, William Selden, Gertrude Tierney na Mary K. Hawes walianza kufanya kazi kuhusu COBOL mwaka wa 1958.

Falsafa

Namna ya COBOL ni namna ya utaratibu na inaozingatiwa kuhusu kipengee.

Sintaksia

Sintaksia ya COBOL ni ngumu sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya COMTRAN, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya COBOL

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

000100 IDENTIFICATION DIVISION. 000200 PROGRAM-ID. SALUTTOUS. 000300 DATE-WRITTEN. 21/05/05 19:04. 000400 AUTHOR UNKNOWN. 000500 ENVIRONMENT DIVISION. 000600 CONFIGURATION SECTION. 000700 SOURCE-COMPUTER. RM-COBOL. 000800 OBJECT-COMPUTER. RM-COBOL. 000900 001000 DATA DIVISION. 001100 FILE SECTION. 001200 100000 PROCEDURE DIVISION. 100100 100200 DEBUT. 100300 DISPLAY " " LINE 1 POSITION 1 ERASE EOS. 100400 DISPLAY "Jambo ulimwengu !" LINE 15 POSITION 10. 100500 STOP RUN. 

Programu nyingine kwa kuchapa "Jambo ulimwengu !" (COBOL-85)

Identification division.           Program-id. Hello.        Procedure division.          Display "Jambo ulimwengu !" line 15 position 10.          Stop run. 

Marejeo

Tags:

Cobol HistoriaCobol FalsafaCobol SintaksiaCobol Mifano ya COBOLCobol MarejeoCobol18 Septemba1959BenkiBiasharaC++Lugha ya programuProgramuTarehe

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UzalendoBarack ObamaKiimboVivumishi vya kumilikiMahakama ya TanzaniaIniViwakilishi vya sifaStashahadaVoliboliKiambishiMtakatifu PauloMtakatifu MarkoTungoHaki za watotoMisimu (lugha)Orodha ya mapapaSimbaZana za kilimoKiunzi cha mifupaLughaKipandausoBendera ya TanzaniaFigoMkoa wa KilimanjaroMungu ibariki AfrikaBloguNguruwe-kayaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMkoa wa MaraTafsiriNdoaYesuMalariaHistoria ya KanisaManchester CityNg'ombeOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaShuleSomaliaVenance Salvatory MabeyoAlama ya uakifishajiKisononoHistoria ya AfrikaMajira ya mvuaKito (madini)Uwanja wa Taifa (Tanzania)ShairiKunguruUbatizoUtafitiJohn MagufuliMamba (mnyama)Hassan bin OmariBendera ya KenyaMisriUtawala wa Kijiji - TanzaniaIdi AminVielezi vya wakatiSentensiKongoshoInsha za hojaMmomonyokoTungo kishaziNamba za simu TanzaniaWahadzabeUkristo barani AfrikaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaVita Kuu ya Pili ya DuniaMichezo ya watotoMkoa wa KigomaKiingerezaMbaraka MwinsheheKisaweUkristoMmeng'enyo🡆 More