Atenogene (alifariki Sebaste katika Armenia Ndogo, leo Sivas, Uturuki, 303 hivi) alikuwa korepiskopo ambaye aliwaachia wanafunzi wake utenzi juu ya Umungu wa Roho Mtakatifu akachomwa moto katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano.
Ndiyo sababu anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Atenogene, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.