Arkanjelo Tadini

Arcangelo Tadini (Verolanuova, Brescia, 12 Oktoba 1846 - Botticino Sera, 20 Mei 1912) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Italia.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza kuwa mwenye heri tarehe 3 Oktoba 1999, na Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 26 Aprili 2009.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyoaga dunia.

Maisha

Baada ya upadrisho alioupata mwaka 1870 alishughulikia matatizo na haki vya wafanyakazi, na hatimaye alianzisha shirika la Masista Wafanyakazi wa Nyumba Takatifu ya Nazareti ambao wawajibike kwa ajili ya haki katika jamii.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Arkanjelo Tadini  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Arkanjelo Tadini MaishaArkanjelo Tadini Tazama piaArkanjelo Tadini TanbihiArkanjelo Tadini Viungo vya njeArkanjelo Tadini12 Oktoba1846191220 MeiBresciaItaliaKanisa KatolikiPadri

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Marais wa KenyaUandishi wa ripotiTarbiaZuchuJava (lugha ya programu)TovutiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoTanganyika African National UnionAntibiotikiRitifaaUpinde wa mvuaLady Jay DeeIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)PumuNgano (hadithi)Mfumo katika sokaMauaji ya kimbari ya RwandaMtaalaShambaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaMuhimbiliHafidh AmeirBendera ya ZanzibarKinyongaKukuOrodha ya milima mirefu dunianiKiwakilishi nafsiHistoria ya TanzaniaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaKalenda ya KiislamuSensaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaNikki wa PiliMungu ibariki AfrikaSentensiMwana FAKinembe (anatomia)MusaBabeliGeorDavieUDAMizimuAndalio la somoMziziNominoKamusiBahari ya HindiMchwaNdiziViwakilishi vya urejeshiHistoria ya uandishi wa QuraniSheriaMnara wa BabeliMeliKhadija KopaVita ya Maji MajiHali ya hewaBruneiMahindiNg'ombeChristina ShushoWaluguruWashambaaIsimujamiiNomino za pekeeLongitudoNgonjeraMnyoo-matumbo MkubwaJacob StephenTenzi tatu za kaleAthari za muda mrefu za pombeBongo FlavaJulius NyerereIsraelVita vya KageraBunge la Tanzania🡆 More