Arise O Compatriots, Nigeria's Call Obey: Wimbo wa taifa wa Nigeria

Arise, O Compatriots ni wimbo wa taifa wa Nigeria.

Uliteuliwa mwaka 1978 badala ya "Nigeria, Tunakupongeza".

Toleo la ala la U.S. Navy Band (mstari mmoja)

Sauti yake ni mchanganyiko wa maneno na beti kutoka malango matano ya mashindano ndani ya nchi. Maneno yaliwekwa na bendi ya polisi wa Nigeria chini ya usimamizi wa Benedit P Ofiase (1934-20 13) maneno ya wimbo wa Taifa yaliwekwa na jumla ya watu watano P.O Aderibigbe, John A. Ilechukwu, Dr. Sota Omoigui, Eme tim Akpan and B.A. Ogunnaike

Maneno yake

Arise, O compatriots, Nigeria's call obey

To serve our fatherland

With love and strength and faith

The labour of our heroes past

Shall never be in vain

To serve with heart and might

One nation bound in freedom, peace and unity.


Oh God of creation, direct our noble cause

Guide our leader’s right

Help our youth the truth to know

In love and honesty to grow

And living just and true

Great lofty heights attain

To build a nation where peace and justice shall reign.

Ahadi kwa taifa

Mara baada ya kuimba wimbo wa taifa, Wanigeria wanatamka ahadi iliyoandikwa na Felicia Adebola Adedoyin mwaka 1976. Ni kama ifuatavyo:

    I pledge to Nigeria my country.
    To be faithful, loyal and honest.
    To serve Nigeria with all my strength
    To defend her unity and uphold her honour and glory
    So help me God

Tanbihi

Viungo vya nje

Arise O Compatriots, Nigeria's Call Obey: Maneno yake, Ahadi kwa taifa, Tanbihi  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arise O Compatriots, Nigeria's Call Obey kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Arise O Compatriots, Nigeria's Call Obey Maneno yakeArise O Compatriots, Nigeria's Call Obey Ahadi kwa taifaArise O Compatriots, Nigeria's Call Obey TanbihiArise O Compatriots, Nigeria's Call Obey Viungo vya njeArise O Compatriots, Nigeria's Call Obey1978MwakaNigeriaWimbo wa taifa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kito (madini)Mashuke (kundinyota)KairoVivumishi vya sifaKilimoMweziNgonjeraMadinaKiunguliaAgano JipyaIsraelLil WayneKalenda ya KiyahudiEkaristiMkutano wa Berlin wa 1885Mfumo katika sokaMtakatifu PauloZuhura YunusWamasaiLahajaJay MelodyWapareWahayaUpendoNguruweUoto wa Asili (Tanzania)UfahamuDeuterokanoniZiwa ViktoriaJinsiaLigi Kuu Uingereza (EPL)DhahabuUjamaaMamaBunge la Afrika MasharikiNdovuChombo cha usafiri kwenye majiPasaka ya KikristoMbwana SamattaSinagogiBikira MariaTmk WanaumeMendeDNAAlama ya uakifishajiMalaikaTreniNetiboliNgamiaMombasaShirika la Utangazaji TanzaniaKitenziNungununguUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereUnyevuangaMishipa ya damuVipera vya semiMuhammadMbaraka MwinsheheMaajabu ya duniaEe Mungu Nguvu YetuViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Unyanyasaji wa kijinsiaJuaOsimosisiMbeguHistoria ya AfrikaFananiUmoja wa MataifaMisemoOrodha ya Marais wa ZanzibarMuda sanifu wa duniaMkoa wa RuvumaBikiraUsawa (hisabati)Orodha ya programu za simu za Wikipedia🡆 More