Amatori Wa Auxerre

Amatori wa Auxerre (kwa Kifaransa: Amadour au Amatre; alifariki Auxerre, leo nchini Ufaransa, 1 Mei 418) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 388 hadi kifo chake.

Amatori Wa Auxerre
Sanamu yake huko Kervignac.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 1 Mei.

Maisha

Amatori alisoma teolojia chini ya Valeriani wa Auxerre, lakini wazazi walimshinikiza kuoa. Hata hivyo alikubaliana na mke wake kuishi kama kaka na dada.

Baadaye mkewe alijiunga na umonaki, naye alijiunga na kleri na hatimaye akawa askofu kwa miaka 30 akijitahidi kung'oa ushirikina na kueneza heshima kwa wafiadini.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Amatori Wa Auxerre  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Amatori Wa Auxerre MaishaAmatori Wa Auxerre Tazama piaAmatori Wa Auxerre TanbihiAmatori Wa Auxerre Viungo vya njeAmatori Wa Auxerre1 Mei388418AskofuAuxerreKifaransaKifoMjiMwakaUfaransa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vitenzi vishiriki vipungufuHistoria ya AfrikaMalaikaViwakilishi vya urejeshiNungununguJamhuri ya Watu wa ChinaUtafitiAfrika Mashariki 1800-1845Mkoa wa KigomaKanisa KatolikiYoweri Kaguta MuseveniKaswendeOrodha ya MiakaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaAndalio la somoMkoa wa Unguja Mjini MagharibiUrusiArsenal FCHistoria ya WokovuNomino za wingiKatekisimu ya Kanisa KatolikiJohn Raphael BoccoNdoaLongitudoFonolojiaHistoria ya IsraelMkoa wa ShinyangaPasaka ya KikristoSumakuBenderaVielezi vya namnaUmaKifua kikuuMohamed HusseinBustani ya EdeniFasihi andishiVivumishi vya -a unganifuNdovuNelson MandelaAngahewaMombasaZama za MaweBiasharaVirusi vya UKIMWINyasa (ziwa)Kutoka (Biblia)KisimaLilithMuhammadBaraza la mawaziri TanzaniaKiunzi cha mifupaBinamuKisononoWhatsAppSaratani ya mapafuNamba ya mnyamaKipaimaraKiboko (mnyama)KontuaMisemoNominoSaidi NtibazonkizaFasihi simuliziPonografiaUkatiliHedhiFisiWema SepetuUtenzi wa inkishafiMkoa wa KataviInsha ya wasifuSayansiMkoa wa Iringa🡆 More