Alma Redemptoris Mater

Alma Redemptoris Mater (tamka: ˈalma redempˈtoris ˈmater; maana yake: 'Mpendwa Mama wa Mkombozi') ni utenzi wa Kikristo unaotumika katika liturujia ya Kanisa la Kilatini hasa kama antifona mojawapo ya kumalizia Sala ya mwisho nje ya Kipindi cha Pasaka.

Alma Redemptoris Mater
Madonna kadiri ya Raffaello Sanzio.
Alma Redemptoris Mater
Alma Redemptoris Mater kwa muziki wa fahari.

Utenzi huo ulitungwa na Hermannus Contractus (1013–1054) kwa kutegemea maandishi ya Fulgensyo wa Ruspe, Epifani wa Salamina na Irenei wa Lyon..

Maneno asili kwa Kilatini

Alma Redemptóris Mater, quæ pérvia cæli
Porta manes, et stella maris, succúrre cadénti,
Súrgere qui curat pópulo: tu quæ genuísti,
Natúra miránte, tuum sanctum Genitórem
Virgo prius ac postérius, Gabriélis ab ore
Sumens illud Ave, peccatórum miserére.

Tafsiri huru ya Kiswahili

Ewe Mama wa Kristo, sikia kilio chetu,
Ewe nyota ya bahari, ewe Mlango wa mbingu,
Mama wa yeye mwenyewe, ambaye alikuumba,
Tunapozama topeni, msaada twakuomba;
Kwa furaha ile ile, Gabrieli alokupa,
E Bikira wa pekee, wa kwanza na mwisho pia,
Twakuomba utujalie, tupewe yako huruma.

Muziki wake

Utenzi huo ulipambwa kwa muziki na Marc-Antoine Charpentier.

Tanbihi

Tags:

Alma Redemptoris Mater Maneno asili kwa KilatiniAlma Redemptoris Mater Tafsiri huru ya KiswahiliAlma Redemptoris Mater Muziki wakeAlma Redemptoris Mater TanbihiAlma Redemptoris MaterAntifonaKanisa la KilatiniKikristoKipindi cha PasakaLiturgiaMamaSala ya mwishoUtenzi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Wallah bin WallahMuundo wa inshaWilliam RutoMkoa wa IringaUlemavuUaBendera ya TanzaniaBawasiriHijabuRoho MtakatifuMaghaniTanganyika (ziwa)BurundiSamakiBinamuDiniSaddam HusseinAina ya damuNdegeWangoniAfrika ya MasharikiJokate MwegeloLigi ya Mabingwa AfrikaMtakatifu PauloJulius NyerereMkataba wa Helgoland-ZanzibarViwakilishiZuhura YunusUkatiliTmk WanaumeUzazi wa mpangoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaLongitudoAzimio la ArushaHaki za watotoMamlaka ya Mapato ya TanzaniaSerikaliBotswanaHistoria ya uandishi wa QuraniTreniLigi Kuu Tanzania BaraMashuke (kundinyota)Simba S.C.Tamathali za semiShirikisho la Afrika MasharikiNapoleon BonaparteNyweleMwenyekitiVipaji vya Roho MtakatifuAlomofuLahaja za KiswahiliWamandinkaWapareTarakilishiTesistosteroniNafsiKito (madini)Orodha ya vyama vya kisiasa nchini KenyaWahaKinembe (anatomia)KontuaJustin BieberWilaya ya KilindiKadi ya adhabuUtamaduni wa KitanzaniaKunguniBaraza la mawaziri TanzaniaMaji kujaa na kupwaBungeNgono zembeMadinaWasafwaLil WayneMaadiliWajita🡆 More