Agata Kwon Chini

Agata Kwon Chini (alifariki Dangkogae, 31 Januari 1840) ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888.

Wanakadiriwa kuwa 8,000 - 10,000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake na ya wenzake watano (Augustino Pak Chongwon, Petro Hong Pyongju, Maria Yi Indok, Magdalena Son So-byg, Agata Yi Kyng-i) ni tarehe 31 Januari, ambapo yeye na hao, baada ya kuteswa sana, walizidi kukiri imani yao hadi walipokatwa vichwa.

Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje (wanashirika wa Paris Foreign Missions Society).

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Agata Kwon Chini  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Agata Kwon Chini MazingiraAgata Kwon Chini Tazama piaAgata Kwon Chini TanbihiAgata Kwon Chini MarejeoAgata Kwon Chini Viungo vya njeAgata Kwon Chini17911840188831 JanuariImaniKanisa KatolikiKoreaKundiWakristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kombe la Dunia la FIFAKata za Mkoa wa Dar es SalaamHistoria ya EthiopiaHoma ya dengiOrodha ya shule nchini TanzaniaOrodha ya miji ya MarekaniMunguNahauSeli nyeupe za damuOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaMkondo wa umemeTungoKalenda ya GregoriMlongeNambaFasihi ya KiswahiliOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaNamba tasaVivumishi vya -a unganifuSanaa za maoneshoVipaji vya Roho MtakatifuAbby ChamsWayahudiMekatilili Wa MenzaBahari ya HindiOrodha ya Marais wa BurundiKorea KusiniOrodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoHarusiUzazi wa mpango kwa njia asiliaNevaLahajaBabeliMlo kamiliNominoKisononoUundaji wa manenoSenegalAunt EzekielUgonjwa wa moyoWhatsAppDhambiChris Brown (mwimbaji)Vivumishi vya idadiMmeaKanzuMsamiatiWagogoMaambukizi ya njia za mkojoPicha takatifuDizasta VinaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarAslay Isihaka NassoroUzazi wa mpangoSkeliFid QBiblia ya KikristoNelson MandelaMuda sanifu wa duniaWasafwaMwenge wa UhuruDuniaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaNguvaKidole cha kati cha kandoVita ya Maji MajiRamaniDhahabuUandishi wa ripotiMbuniEkaristiKataUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokoki🡆 More