Agata Yi Kyongi

Agata Yi Kyongi (alifariki Dangkogae, 31 Januari 1840) ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888.

Wanakadiriwa kuwa 8,000 - 10,000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake na ya wenzake watano (Augustino Pak Chongwon, Petro Hong Pyongju, Maria Yi Indok, Magdalena Son So-byg, Agata Kwn Chin-i) ni tarehe 31 Januari, ambapo yeye na hao, baada ya kuteswa sana, walizidi kukiri imani yao hadi walipokatwa vichwa.

Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje (wanashirika wa Paris Foreign Missions Society).

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Agata Yi Kyongi  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Agata Yi Kyongi MazingiraAgata Yi Kyongi Tazama piaAgata Yi Kyongi TanbihiAgata Yi Kyongi MarejeoAgata Yi Kyongi Viungo vya njeAgata Yi Kyongi17911840188831 JanuariImaniKanisa KatolikiKoreaKundiWakristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Maambukizi nyemeleziRobin WilliamsMkoa wa DodomaUkoloniChombo cha usafiri kwenye majiUrusiWasukumaUtapiamloUkwapi na utaoUlemavuKumaKinembe (anatomia)Maana ya maishaTwigaAzimio la ArushaKitenzi kishirikishiNgono zembeAKipindi cha PasakaShereheNomino za pekeeMbeguVivumishiHassan bin OmariOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaYouTubeWizara za Serikali ya TanzaniaMkoa wa TaboraVivumishi vya -a unganifuMkoa wa LindiVielezi vya namnaKamusi elezoMagonjwa ya machoMaradhi ya zinaaJohn Raphael BoccoJinaOrodha ya wanamuziki wa AfrikaNyangumiOrodha ya Marais wa ZanzibarTabainiMariooAsiaAthari za muda mrefu za pombeMoyoBoris JohnsonPalestinaKitenzi kikuu kisaidiziKendrick LamarMashariki ya KatiIsraeli ya KaleMacky SallMichelle ObamaKalenda ya GregoriKalenda ya KiislamuMji mkuuHarmonizeBendera ya TanzaniaMwanaumeMbwana SamattaMbiu ya PasakaHistoria ya WapareShinaSisimiziUingerezaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuShinikizo la juu la damuElimuVita ya Maji MajiChadNafsiMillard AyoNyegereUfugaji wa kukuMkoa wa IringaMfumo katika sokaZuchu🡆 More