Adolfo Mukasa Ludigo

Adolfo Mukasa Ludigo (+ Namugongo 3 Juni 1886) ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda.

Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II (1884 - 1903) ambao waliuawa kati ya tarehe 15 Novemba 1885 na tarehe 27 Januari 1887 kwa sababu ya kumwamini Yesu Kristo baada ya kuhubiriwa Injili na Wamisionari wa Afrika walioandaliwa na kardinali Charles Lavigerie.

Hawa ndio wafiadini wa kwanza wa Kusini kwa Sahara kuheshimiwa na Kanisa Katoliki kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Juni.

Tazama pia

Tanbihi

Adolfo Mukasa Ludigo  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

18863 JuniKanisa KatolikiMfiadiniWafiadini wa UgandaWakristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mfumo wa upumuajiKoroshoWahaUkristoWarakaKidole cha kati cha kandoKaaOrodha ya kampuni za TanzaniaSanaaUtumwaKamusi za KiswahiliOrodha ya nchi za AfrikaDubai (mji)SarufiKilimoUnyagoVitamini CTiktokUkimwiMpira wa miguuPombeVitenzi vishiriki vipungufuRushwaMbadili jinsiaOrodha ya viongoziYouTubeAla ya muzikiVivumishi vya -a unganifuUsawa (hisabati)UfahamuMkoa wa MwanzaDamuUfugajiMaradhi ya zinaaUnyevuangaMzeituniVidonge vya majiraMlongeMkanda wa jeshiUandishi wa barua ya simuKukiAbrahamuMwana FARisalaKukuShairiDuniaWanyama wa nyumbaniNgeliSiafuJakaya KikweteMkoa wa MorogoroInstagramTabataShengHerufiShahawaUpinde wa mvuaBloguMichael JacksonManispaaUchawiMagonjwa ya kukuHistoria ya IranJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaWanyaturuMkoa wa RuvumaHaki za wanyamaNomino za jumlaMsituStashahadaSimu za mikononiOrodha ya makabila ya KenyaIkweta🡆 More