2 Pallas: Asteroidi

2 Pallas (au Palasi; alama: ) ni asteroidi ya pili iliyowahi kutambuliwa katika Mfumo wa Jua.

Iligunduliwa na mtibabu na mwanaastronomia Mjerumani Heinrich Wilhelm Matthäus Olbers mnamo 28 Machi 1802.

2 Pallas: Asteroidi
Picha ya Pallas kwa rangi ya Urujuanimno

Jina la "2 Pallas" inaunganisha jina lililotolewa na Olbers, pamoja na namba ya asteroidi iliyojulikana. Jina lenyewe limanrejelea Pallas Athena aliyeabudiwa kama mungu katika dini ya Ugirki ya Kale.

2 Pallas ina masi inayokadiriwa kuwa asilimia 7% ya masi yaote ya ukanda wa asteroidi. Ni asteroidi kubwa ya tatu kulingana na masi yake, na ya pili kwa kuangalia kipenyo chake. Umbo lake linafanana na duaradufu yenye vipenyo kati ya km 500 na km 582.

References

Tags:

AsteroidiMfumo wa Jua

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mnara wa BabeliBabeliVielezi vya namnaNdoaMperaNomino za dhahaniaMbossoHoma ya mafuaSumakuFonimuOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaWanawake katika uchakataji pombeOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaOrodha ya Magavana wa TanganyikaDoto Mashaka BitekoMtemi MiramboAnna and the King (Filamu)Idhaa ya Kiswahili ya Radio TehranPichaMnyamaZamaradi MketemaNikki wa PiliKanuni ya Imani ya Nisea-KonstantinopoliPentekosteMvuaMjombaAsilimiaNominoWandengerekoShaaban (mwezi)BinadamuTumainiWabondeiLeonard MbotelaMshambuliajiMwenge wa UhuruRayvannyMwakaJohn MagufuliManchester United F.C.Clatous ChamaVidonda vya tumboKihusishiSarafu ya BitAsili ya KiswahiliMkoa wa NjombeMeridianiTungo kishaziMkoa wa SongweKonsonantiHali ya hewaTundu Antiphas Mughwai LissuMajengo (Tunduma)Lugha ya isharaMsokoto wa watoto wachangaNetiboliPapa (samaki)Historia ya AfrikaWalawi (Biblia)George WashingtonWabena (Tanzania)Mbwa-kayaNdoa katika UislamuQatarMajiSakramentiPesaBarua pepeMajira ya baridiNamba tasaNamba za simu TanzaniaKiambishiMwanzoOrodha ya nchi kufuatana na wakazi🡆 More