Uzamivu

Uzamivu (pia PhD ambayo ni kifupi cha Kilatini Philosophiae Doctor yaani Daktari wa Falsafa) ni shahada ya juu kabisa katika elimu.

Uzamivu
Muhitimu wa ngazi ya PHD huko Afrika ya Kusini akiwa katika vazi maalumu

Inatolewa na vyuo vikuu baada ya digrii ya kwanza na shahada ya uzamili.

Kwa kufuata tabia za lugha nyingine, jina daktari hutumiwa pia kama jina la heshima kwa mtu aliyepata shahada ya uzamivu. Katika nchi nyingi, mtu aliyepokea shahada ya uzamivu anaongeza cheo kabla ya jina lake kwa kifupi ambacho kimatifa ni "Dr.", kwa Kiswahili mara nyingi pia "Dkt."

Ilikuwa desturi hadi leo kwamba mgombea wa uzamivu anaonyesha uwezo wake kwa kutunga tasnifu ambayo ni kitabu kamili. Siku hizi masharti ya tasnifu yanaweza kutimizwa pia kwa kutunga idadi fulani za makala zinazohitaji kupokewa na majarida ya kitaalamu ambamo zinachunguliwa na wataalamu wengine kabla ya kupokewa na kuchapishwa.

Nje ya utaratibu wa kawaida kuna pia cheo cha "daktari wa heshima" hutolewa kwa mtu anayetazamiwa kuwa na michango mikubwa kwa maendeleo ya sayansi fulani, elimu kwa jumla au kwa taasisi ya elimu. Mara nyingi hutolewa pia kwa sababu za kisiasa. Kifupi chake kwa kawaida ni "Dr. h.c."; "h.c." ni kifupi cha Kilatini honoris causa kinachomaanisha "kwa sababu ya heshima".

Uzamivu Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uzamivu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ElimuKifupiKilatiniShahada

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Andalio la somoMivighaMkoa wa ArushaMbweni, KinondoniViwakilishi vya pekeeMatiniUfupishoJamhuri ya Watu wa ZanzibarHekimaHektariWilaya ya UbungoMsokoto wa watoto wachangaMwanaumeKamusi ya Kiswahili sanifuJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoAnwaniMuundoMlongeAdolf HitlerChakulaNomino za wingiNdovuShinikizo la juu la damuMtemi MiramboAkiliKitunda (Ilala)Waziri Mkuu wa TanzaniaMgawanyo wa AfrikaHistoria ya WapareMadhehebuSaidi Salim BakhresaHeshimaMakabila ya IsraeliJipuMkutano wa Berlin wa 1885PumuArudhiUtafitiMJBendera ya ZanzibarKitenzi kishirikishiOrodha ya milima ya TanzaniaKibu DenisUaminifuSeli nyeupe za damuMtiUandishi wa ripotiMvua ya maweWairaqwMaambukizi nyemeleziTungo kishaziRayvannyOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaAlgorithimu uchanguajiFasihi andishiOrodha ya Marais wa MarekaniMuundo wa inshaSumakuKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniTetemeko la ardhiMofimuWahayaUhifadhi wa fasihi simuliziKitomeoWilayaHifadhi ya Taifa ya NyerereMalariaWilaya ya ArushaKata za Mkoa wa Dar es SalaamWikipediaManispaaBahashaHali ya hewaLenzi🡆 More