Tasnifu (Kiingereza thesis, dissertation) ni maandiko ya kitaaluma yanayochanganua mada maalumu kwa ajili ya kupata shahada ya juu.
Hutolewa pale ambapo msomi analenga digrii ya kitaaluma akiwasilisha utafiti na matokeo yake.
Katika miktadha mingine, neno "tasnifu" hutumiwa pia kwa kazi kubwa ya kimaandishi iliyo sehemu ya shahada ya awali au ya uzamili, lakini kwa kawaida hutumiwa kwa uzamivu.
Ugumu au ubora wa utafiti unaohitajika kwa tasnifu inaweza kutofautiana na nchi, chuo kikuu, au somo.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Tasnifu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.