Urais Wa Barack Obama

Urais wa Barack Obama ulianza tarehe 20 Januari 2009 saa sita mchana EST, alipoapishwa kama rais nambari 44 wa Marekani.

Obama alikuwa mjumbe katika Bunge La Maseneta La Marekani kutoka Illinois alipomshinda mjumbe wa Arizona, Seneta John McCain, katika uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka 2008.

Sera zake Obama zimejumuisha majaribio ya kuyaondoa matatanisho ya kiuchumi ya miaka 2008-2009, na pia mabadiliko katika sheria za ushuru za Marekani. Katika sera zinazohusu nch za kigeni, Obama amejaribu kuukarabati uhusiano wa Mrekani na nchi nyingine, na pia kuanza kutamatisha ufungwaji wa mahabusu wa kigeni katika kituo cha kijeshi cha Guantanamo Bay. Obama ametanganza kwamba atajaribu kupunguza silaha za nyuklia zinazohifadhiwa na jeshi la Marekani.

Baraza la Mawaziri

Urais Wa Barack Obama
Baraza la Mawaziri la Obama.
Wizara Afisi Waziri Picha Madarakani Tangu
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Mambo ya Nje
Waziri wa Mambo ya Nje Hillary Rodham Clinton Urais Wa Barack Obama 21 Januari 2009
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Fedha
Waziri wa Fedha Timothy Geithner Urais Wa Barack Obama 26 Januari 2009
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Kujihami
Waziri wa Kujihami Robert Gates Urais Wa Barack Obama 18 Desemba 2006
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Sheria
Wakili Mkuu Eric Holder Urais Wa Barack Obama 2 Februari 2009
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri wa Mambo ya Ndani Ken Salazar Urais Wa Barack Obama 21 Januari 2009
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Kilimo
Waziri wa Kilimo Tom Vilsack Urais Wa Barack Obama 21 Januari 2009
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Biashara
Waziri wa Biashara Gary Locke Urais Wa Barack Obama 24 Machi 2009
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Kazi
Waziri wa Kazi Hilda Solis Urais Wa Barack Obama 24 Februari 2009
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Afya
Waziri wa Afya Kathleen Sebelius Urais Wa Barack Obama 28 Aprili 2009
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Nyumba na Maendeleo ya Miji
Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Miji Shaun Donovan Urais Wa Barack Obama 26 Januari 2009
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Uchukuzi
Waziri wa Uchukuzi Ray LaHood Urais Wa Barack Obama 22 Januari 2009
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Nishati
Waziri wa Nishati Steven Chu Urais Wa Barack Obama 21 Januari 2009
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Elimu
Waziri wa Elimu Arne Duncan Urais Wa Barack Obama 21 Januari 2009
Urais Wa Barack Obama
Waziri wa Mambo ya Wanajeshi Wastaafu
Waziri wa Mambo ya Wanajeshi Wastaafu Eric Shinseki Urais Wa Barack Obama 21 Januari 2009
Urais Wa Barack Obama
Wizara ya Ulinzi wa Ndani na Usalama
Waziri wa Ulinzi wa Ndani na Usalama Janet Napolitano Urais Wa Barack Obama 21 Januari 2009

Viungo vya Nje

Tags:

ArizonaBarack ObamaIllinoisJohn McCainMarekaniMchanaOrodha ya Marais wa Marekani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Lugha ya kwanzaUyahudiArusha (mji)KipindupinduUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaFasihi simuliziPopoVipera vya semiOrodha ya volkeno nchini TanzaniaUandishi wa ripotiZana za kilimoKumamoto, KumamotoSomaliaKitenzi kishirikishiAngkor WatMsituKiambishi tamatiUturukiNguruweKipimajotoMenoTanzaniaOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKitenziUtegemezi wa dawa za kulevyaViunganishiWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMnyoo-matumbo MkubwaNetiboliUKUTAMazingiraKina (fasihi)DhambiTahajiaRamadan (mwezi)Shirikisho la MikronesiaFur EliseTheluthiSemantikiMeliJipuBogaVincent KigosiSaa za Afrika MasharikiKunguniViwakilishiMkondo wa umemeKusiniBaraza la Maaskofu Katoliki TanzaniaVisakaleAina za manenoThrombosi ya kina cha mishipaNovatus DismasDaniel Arap MoiKoloniHadithiAfrikaTetekuwangaPilipiliHewaDakuFIFAWaarabuKwaresimaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaBongo FlavaNominoHarmonizeViwakilishi vya sifaUshirikianoKombe la Dunia la FIFAHarrison George MwakyembeNimoniaMimba kuharibikaJidaDemokrasia🡆 More