Upanga Magharibi

Upanga Magharibi ni kata ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 11103.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 11,845 . Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ya Upanga Magharibi ilikuwa na wakazi wapatao 9,259 waishio humo .

Kata ya Upanga magharibi, kiutawala, ina mitaa mitatu:

  • Mtaa wa Charambe ambao ndipo ilipo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
  • Mtaa wa Mfaume ambao ndipo ilipo ofisi ya makao makuu ya SIDO Tanzania
  • Mtaa wa Fire ambao ndipo kituo kikubwa cha Idara ya Zimamoto.

Marejeo

Upanga Magharibi  Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania Upanga Magharibi 

Bonyokwa | Buguruni | Buyuni | Chanika | Gerezani | Gongolamboto | Ilala | Jangwani | Kariakoo | Kimanga | Kinyerezi | Kipawa | Kipunguni | Kisukuru | Kisutu | Kitunda | Kivukoni | Kivule | Kiwalani | Liwiti | Majohe | Mchafukoge | Mchikichini | Minazi Mirefu | Mnyamani | Msongola | Mzinga | Pugu | Pugu Station | Segerea | Tabata | Ukonga | Upanga Magharibi | Upanga Mashariki | Vingunguti | Zingiziwa


Tags:

KataMkoa wa Dar es SalaamNambaPostikodiTanzaniaWilaya ya Ilala

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

RushwaSintaksiMethali2 AgostiBunge la Afrika MasharikiJihadiBarua pepeMkoa wa ManyaraVita vya KageraUgonjwa wa kupoozaRihannaSinagogiUNICEFJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMbeya (mji)MbogaMauaji ya kimbari ya RwandaDamuMisriTanganyikaKiumbehaiOrodha ya shule nchini TanzaniaUpendoUsultani wa ZanzibarKendrick LamarMaradhi ya zinaaMitume na Manabii katika UislamuInsha ya wasifuKanzuJumaNimoniaNairobiHistoria ya EthiopiaMofolojiaSayariSilabiBaraza la mawaziri TanzaniaAnna MakindaArudhiVirusiKukiNomino za pekeeMkoa wa MaraTungo sentensiRené DescartesDioksidi kaboniaUandishi wa barua ya simuAzimio la ArushaKenyaKiunguliaUjamaaDaudi (Biblia)Hekalu la YerusalemuMkoa wa KigomaShambaSenegalNileKitubioMwenge wa UhuruNabii IsayaNgome ya YesuHaikuAsiaVirusi vya UKIMWIUkwapi na utaoShairiNguvaMazingiraAganoMweziAunt EzekielSarufiAmri KumiSomo la Uchumi🡆 More