Thesalonike (kwa Kigiriki Θεσσαλονίκη, Thessaloniki) ni mji wa pili wa Ugiriki kwa ukubwa, ukiwa na wakazi 322,240 (sensa ya mwaka 2011) ambao wanafikia 790,824 katika eneo zima la mji.
Uko upande wa kaskazini wa nchi na kuwa makao makuu ya mkoa wa Makedonia.
Una historia ndefu na tukufu, ikiwa ni pamoja na kutembelewa na mtume Paulo aliyeanzisha huko mojawapo kati ya jumuia za kwanza za Ukristo barani Ulaya.
Pia unajulikana kwa nyaraka mbili alizowaandikia hao Wakristo wachanga, ambazo ya kwanza yake ni andiko la kwanza kabisa katika utunzi wa Agano Jipya.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Thesalonike kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Thesalonike, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.