Theodor Seuss Geisel (2 Machi 1904 – 24 Septemba 1991) alikuwa mwandishi na mchoraji vielezo kutoka nchi ya Marekani.
Anajulikana hasa kwa vitabu vyake kwa watoto alivyoviandika chini ya jina la Dr. Seuss.
Theodor Seuss Geisel | |
Amezaliwa | 2 Machi 1904 Massachusetts, Marekani |
---|---|
Amekufa | 24 Septemba 1991 California, Marekani |
Nchi | Marekani |
Kazi yake | Mwandishi |
Ndoa | Helen Palmer Geisel (1927–1967) Audrey Stone Dimond (1968–1991) |
Tovuti | http://www.seussville.com/ |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Theodor Seuss Geisel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Theodor Seuss Geisel, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.