The Walt Disney Company

The Walt Disney Company (huitwa kwa kifupi: Disney) ni moja kati makampuni makubwa ya burudani na vyombo vya habari duniani.

The Walt Disney Company
alama ya kampuni

Kampuni ilianzishwa mnamo mwaka wa 1923 na Walt Disney na ndugu yake, Roy Oliver Disney, kwa jina la Disney Brothers Cartoon Studio.

Ilikuwa na jina la Walt Disney Productions kuanzia miaka ya 1930 na hadi mwanzoni mwa mwaka wa 1986.

Disney Enterprises Inc. ni kampuni tanzu ya Walt Disney; jina ambalo linapatikana katika bidhaa nyingi zilizopewa haki ya kuuza chini ya jina la Walt Disney, Walt Disney World Resort.

Matawi

Vitengo vikuu vya kampuni ni Studio Entertainment, Vituo vya Maonyesho na Mahoteli, Mitandao ya Habari na Bidhaa za Zilizotayari Kununuliwa.

Tazama pia

  • Orodha ya wahusika wa Disney

Marejeo

Viungo vya Nje

Tags:

The Walt Disney Company MatawiThe Walt Disney Company Tazama piaThe Walt Disney Company MarejeoThe Walt Disney Company Viungo vya NjeThe Walt Disney CompanyBurudaniDunianiKampuniKifupiVyombo vya habari

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Young Africans S.C.Nembo ya TanzaniaDodoma (mji)Pasaka ya KikristoStadi za lughaAlomofuClatous ChamaMshororoUkimwiMofolojiaHoma ya dengiMeliLahaja za Kiswahili28 MachiMlongeWasafwaMamba (mnyama)Kimondo cha MboziMazingiraUbatizoMkoa wa MaraKitenzi kikuu kisaidiziNgome ya YesuBiblia ya KikristoFasihiMuhammadKaswendeHistoria ya Kanisa KatolikiNyaniMeena AllyInsha ya wasifuManiiMkoa wa MorogoroMpwaOrodha ya wanamuziki wa AfrikaMbiu ya PasakaBenjamin MkapaUkatiliHistoria ya WapareSkautiKorea KaskaziniImaniKiunguliaOrodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoTamthiliaWamasaiMkoa wa MwanzaTarafaMapinduzi ya ZanzibarFutiNuru InyangeteRohoMishipa ya damuKiambishi awaliMajira ya baridiHistoria ya KanisaDhima ya fasihi katika maishaTaswira katika fasihiTafsiriSaratani ya mlango wa kizaziMohammed Gulam DewjiMbeguMbossoMahakama ya TanzaniaJotoFutariUwanja wa Taifa (Tanzania)NungununguOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaKilimanjaro (Volkeno)VihisishiKito (madini)FonolojiaKanzuHali maada🡆 More