Sofroni Wa Yerusalemu

Sofroni wa Yerusalemu (Damasko, Syria, 560 hivi - Yerusalemu, Israeli/Palestina, 11 Machi 638) alikuwa askofu wa Yerusalemu kuanzia mwaka 634 hadi kifo chake.

Wakati huo Yerusalemu ulitekwa na Waarabu Waislamu naye alitetea imani na haki za wananchi dhidi ya wavamizi.

Sofroni Wa Yerusalemu
Mt. Sofroni alivyochorwa.

Kabla ya hapo alikuwa mwanafunzi wa Yohane Mosko akaongozana naye kutembelea monasteri nyingi, akawa mwalimu, halafu mmonaki mwanateolojia aliyetetea vizuri imani sahihi kuhusu Yesu Kristo kuwa na utashi wa kibinadamu chini ya ule wa Kimungu.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Machi.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • D. Woods, 'The 60 Martyrs of Gaza and the Martyrdom of Bishop Sophronius of Jerusalem’, ARAM Periodical 15 (2003), 129–50. Reprinted in M. Bonner (ed.), Arab-Byzantine Relations in Early Islamic Times (Aldershot, 2005), 429–50.

Viungo vya nje

Sofroni Wa Yerusalemu  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Sofroni Wa Yerusalemu Tazama piaSofroni Wa Yerusalemu TanbihiSofroni Wa Yerusalemu MarejeoSofroni Wa Yerusalemu Viungo vya njeSofroni Wa Yerusalemu11 Machi560634638AskofuDamaskoHakiImaniIsraeliKifoMwakaPalestinaSyriaWaarabuWaislamuYerusalemu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Viwakilishi vya pekeeSanaaOrodha ya Marais wa ZanzibarUsanifu wa ndaniKiazi cha kizunguKamusi ya Kiswahili sanifuBendera ya KenyaMoses KulolaNahauWagogoWashambaaMusaMillard AyoTreniMnara wa BabeliTabataInshaRushwaTafakuriUvimbe wa sikioHaitiOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaHistoria ya ZanzibarKimara (Ubungo)UlimwenguHistoria ya WasanguMeta PlatformsKishazi huruUtamaduniKinembe (anatomia)Mapambano ya uhuru TanganyikaShikamooKenyaNgamiaAlfabetiKishazi tegemeziDaktariMfumo wa upumuajiIsimujamiiMbezi (Ubungo)Mkopo (fedha)Mbwana SamattaUtoaji mimbaSaidi Salim BakhresaNyangumiAbrahamuOrodha ya makabila ya TanzaniaMbuniWingu (mtandao)Mkanda wa jeshiWimboMilango ya fahamuLatitudoKomaUkooUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaUtumbo mwembambaUchawiKamusiUhakiki wa fasihi simuliziLongitudoMkoa wa Unguja Mjini MagharibiRadiLigi Kuu Uingereza (EPL)JinsiaIfakaraJava (lugha ya programu)Lahaja za KiswahiliKukiUbongoUjima🡆 More