Ponsyo Pilato

Ponsyo Pilato (kwa Kilatini Pontius Pilatus; kwa Kigiriki Πόντιος Πιλᾶτος; kwa Kiebrania פונטיוס פילאטוס; alikuwa liwali wa kiroma katika Palestina kwenye miaka 26-36.

Ponsyo Pilato
Ecce Homo, mchoro wa Antonio Ciseri unaoonyesha Ponsyo Pilato alivyomtambulisha Yesu kwa watu wa Yerusalemu baada ya kumpiga mijeledi

Anajulikana kutoka vyanzo mbalimbali, lakini hasa kwa sababu ya Injili kumtaja kama hakimu aliyempeleka Yesu kuuawa msalabani. Vyanzo vingine ni katika maandiko ya Yosefu Flavius, Tacitus na Filo wa Aleksandria.

Waandishi Wayahudi Josephus na Philo wanamwonyesha kama mtawala mkali asiyeheshimu utamaduni na imani ya wenyeji wa Palestina. Baada ya kutumia unyama katika ukandamizaji wa Wasamaria aliitwa kurudi Roma na kufika mbele ya Kaisari. Hakuna habari za uhakika kuhusu maisha yake ya baadaye.

Kanisa la Ethiopia linafuata hadithi ya kwamba aliongoka, hivyo linamheshimu kama mtakatifu.

Kadiri ya mapokeo mengine, alijiua.

Tazama pia

Ponsyo Pilato  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ponsyo Pilato kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

2636Dola la RomaKiebraniaKigirikiKilatiniLiwaliPalestina

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

RaiaVivumishi vya urejeshiIsaAurora, ColoradoKumaFasihi andishiKatibaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarPijini na krioliUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaNelson MandelaKukuLibidoMuziki wa dansi wa kielektronikiMpira wa miguuWamanyemaNidhamuWilliam RutoWAli KibaVitenzi vishiriki vipungufuBunge la TanzaniaUhuruHistoria ya WapareSitiariKamusi ya Kiswahili sanifuFani (fasihi)HeshimaUkoloni MamboleoThabitiUkimwiSeliMaliasiliHaki za binadamuKipajiMpwaEmmanuel OkwiAthari za muda mrefu za pombeWanyamboKiumbehaiMaisha ya Weusi ni muhimuUaUjerumaniMarie AntoinetteJeshiVielezi vya mahaliJinaKinembe (anatomia)IntanetiOrodha ya Marais wa KenyaJumuiya ya MadolaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuRohoMwakaFigoNdoa katika UislamuVitenziOrodha ya viongoziBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiUgirikiUsawa wa kijinsiaNovatus DismasJohn MagufuliKuchaMtakatifu PauloMfumo wa upumuajiFur EliseNdege (mnyama)Barua pepeInjili ya YohaneMahariMwaniMkoa wa IringaViwakilishiMkoa wa MtwaraRedioWilaya za TanzaniaTeknolojia🡆 More