Daktari

Daktari (au dokta; wingi wake unaundwa kwa kutanguliza ma-) ni neno lenye asili ya Kilatini (doctor) lililoingia Kiswahili kwa kupitia Kiingereza.

Hutumiwa kwa maana mbili:

Daktari
Kielelezo kinacho wakirisha daktari

1) Mtaalamu aliyepata mafunzo maalum kwenye chuo kikuu cha kutibu maradhi ya wagonjwa. Mtu wenye ujuzi wa kutibu anaitwa pia mganga (wa), tabibu (ma). Daktari humtibu mgonjwa kwa kutumia sindano, kumtundikia dripu n.k. baada ya kumpima baadhi ya vitu kama:

  • Kumpima damu
  • Kumpima mapigo ya moyo n.k. Maranyingi daktari hufanya kazi yake katika sehemu maalumu iitwayo Hospitali.

2) Kwa kufuata tabia za lugha nyingine daktari hutumiwa pia kama jina la heshima kwa mtu aliyepata shahada ya uzamivu au "PhD" ambayo ni shahada ya juu kabisa.

Picha

Daktari  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daktari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AsiliKiingerezaKilatiniKiswahiliNeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa SimiyuWapareMariooTafsiriVichekeshoMbezi (Ubungo)SimuKanda Bongo ManJinaMitume wa YesuOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaSadakaTafakuriKidole cha kati cha kandoMkoa wa RukwaMtume PetroAgano la KaleKumaBikiraVidonda vya tumboMbwana SamattaRamaniWajitaMamba (mnyama)Kutoka (Biblia)Orodha ya viongoziTanganyika (ziwa)Historia ya KanisaHistoria ya IranKitenzi kishirikishiAfrika KusiniFasihiViwakilishi vya pekeeUaHistoria ya UislamuWilaya ya IlalaKamusi za KiswahiliKiraiMkwawaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaNg'ombe (kundinyota)UchawiMpira wa miguuHifadhi ya SerengetiVasco da GamaElimuZakaFutiVita Kuu ya Kwanza ya DuniaBaruaKiingerezaLugha za KibantuMaji kujaa na kupwaDiniUtumbo mpanaUkwapi na utaoBloguMajeshi ya Ulinzi ya KenyaMunguOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaSiafuNamba tasaBunge la TanzaniaMwamba (jiolojia)Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020DivaiUjerumaniUenezi wa KiswahiliKanga (ndege)UturukiAlomofu🡆 More