Moroni (kwa Mwandiko wa Kiarabu: موروني) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Komori wenye wakazi 60,200.
Jiji la Moroni | |
Mahali pa mji wa Moroni katika Komori | |
Majiranukta: 11°41′35″S 43°15′15″E / 11.69306°S 43.25417°E | |
Nchi | Komori |
---|
Mji uko upande wa magharibi wa kisiwa cha Ngazija (Grande Comore). Kuna bandari kwa usafiri kwa meli kwenda visiwa vingine vya Bahari Hindi pia bara la Afrika ya Mashariki pamoja na uwanja wa kimataifa wa ndege.
Anwani ya kijiografia ni 11°45′S 43°12′E.
Moroni ilikuwa mji mkuu wa Usultani wa Bambao uliokuwa dola lenye kipaumbele kisiwani hadi kuja kwa ukoloni wa Ufaransa.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Moroni (Komori) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Moroni (Komori), which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.