Mkoa Wa Bingöl

Mkoa wa Bingöl ni mkoa uliopo mjini Mashariki mwa kanda ya Anatolia huko nchini Uturuki.

Mkoa ulianzishwa mnamo mwaka wa 1946 ukiwa nje ya sehemu ya Elazığ na Erzincan. Mikoa ya jirani na mkoa huu ni pamoja na Tunceli (Dersim), Erzurum, Muş, Diyarbakır, Erzincan na Elazığ. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 8,125 na una wakazi wapatao 245,243. Idadi kubwa ya wakazi wa hapa ni Wakurdi. Lugha kuu za mkoani hapa ni Kituruki na Kikurdi. Mji mkuu wake ni Bingöl.

Mkoa Wa Bingöl Mkoa wa Bingöl
Maeneo ya Mkoa wa Bingöl nchini Uturuki
Mkoa Wa Bingöl
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Mashariki
Eneo: 8,125 (km²)
Idadi ya Wakazi 245,243 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 12
Kodi ya eneo: 0426
Tovuti ya Gavana http://www.bingöl.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/bingöl
Mkoa Wa Bingöl
Uwanja wa ndege wa Bingöl

Wilaya za mkoani hapa

Mkoawa Bingöl umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

Mkoa Wa Bingöl  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bingöl kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Tags:

BingölKikurdiKiturukiMikoa ya UturukiMkoa wa DiyarbakırMkoa wa ElazığMkoa wa ErzincanMkoa wa ErzurumMkoa wa MuşMkoa wa TunceliUturukiWakurdi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uandishi wa inshaOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaPesaMuda sanifu wa duniaVita vya KageraEthiopiaMfumo katika sokaTeziKomaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarChuchu HansUtapiamloNomino za pekeeWamanyemaIsraelUhifadhi wa fasihi simuliziUsafiriViwakilishi vya sifaNidhamuOrodha ya shule nchini TanzaniaKamusi za KiswahiliMofimuFasihi andishiKarafuuBaraza la Maaskofu Katoliki TanzaniaHistoria ya KanisaJinsiaLugha ya taifaMjiKuraniHadhiraAzimio la kaziOrodha ya Magavana wa TanganyikaShabaniBurundiHali maadaUsultani wa ZanzibarSayari ya TisaHekaya za AbunuwasiUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiRushwaMichezoSiasaMalawiNovatus DismasBaruaMarie AntoinetteMmeaLigi ya Mabingwa AfrikaOrodha ya Marais wa ZanzibarPunyetoKupatwa kwa JuaManchester United F.C.NdoaSimba S.C.DuniaUandishiKipandausoMalariaAbrahamuLongitudoViwakilishi vya pekeeAsidiOrodha ya Watakatifu WakristoShangaziNgeli za nominoJakaya KikweteHistoria ya AfrikaKipepeoBustani ya wanyamaAzziad NasenyaKiambishiUsawa (hisabati)Mahakama🡆 More