Kikurdi (kwa lugha hiyo: کوردی, Kurdî, tamka: ) ni kundi la lahaja za Kiajemi zinazotumika na Wakurdi wengi (milioni 20-30 hivi) huko Mashariki ya Kati.
Ni lugha rasmi mojawapo katika nchi ya Iraq, lakini katika nchi nyingine, hasa Syria, hairuhusiwi au inazuiwa katika matumizi kadhaa.
Kurdish travel guide kutoka Wikisafiri
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikurdi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kikurdi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.