Michael Brake (alizaliwa Oktoba 22, 1994) ni mpiga makasia wa Nyuzilandi.
Ni mwana Olimpiki mara mbili na alishinda medali ya dhahabu ya Olimpiki Tokyo 2020.
Brake amekuwa mpiga makasia kimataifa tangu 2012 na mwaka huo alishinda Ubingwa wa dunia kwenye mashindano ya Ubingwa wa dunia wa kupiga makasia kwa vijana. Kwenye Ubingwa wa dunia kupiga makasia chini ya miaka 23 mwaka 2014 alishinda medali ya fedha.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Michael Brake, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.