Meta-Wiki

Meta-Wiki ni tovuti ya Wiki Foundation na mahali muhimu pa kuendeleza na kusimamia miradi yote ya shirika hii.

Meta-Wiki
Nembo ya Meta-Wiki

Miradi kama Wiki, Wiktionary, Wikiquote, Wikisource, Wikinews, Wikibooks, Wikiversity au Wiki Commons hutumia programu ya pamoja inayozidi kuendelezwa.

Vile maswali ya kuanzisha miradi ya wiki kwa lugha mpya yanajadiliwa hapa. Kama jumuiya inayohariri wikipedia kwa lugha fulani imepatwa na fitina na inashindwa kupatana kati yao wasimamizi kwenye ngazi ya Meta-Wiki wanaweza kuingilia kati.

Vilevile wasimamizi wa Meta-Wiki wanaangalia kama haki za hatimiliki inaangaliwa katika matumizi ya picha. Ila mara nyingi wao hufanya kazi za kuratibu miradi yote ya Wiki, yaani, swala zima la kiufundi wao ndiyo wana uwezo mkubwa wa kutatua matatizo ya miradi yote husika na Wikimedia.

Kiungo

Tags:

TovutiWiki Foundation

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KiingerezaOrodha ya kampuni za TanzaniaKiumbehaiUpepoKamusi elezoKifua kikuuUaSaratani ya mapafuCAFDaudi (Biblia)Namba za simu TanzaniaZama za MaweAmri KumiKiswahiliMsumbijiAntibiotikiBasilika la Mt. PauloSimbaRita wa CasciaTarehe za maisha ya YesuJulius NyerereAnna Makinda2 AgostiFonimuMkoa wa KigomaPentekosteNembo ya TanzaniaNguruweKamusiUzazi wa mpango kwa njia asiliaMr. BlueRitifaaAlama ya uakifishajiMofimuIniUajemiBinadamuItaliaMapambano kati ya Israeli na PalestinaEkaristiSarufiViunganishiKilwa KivinjeNgonjeraKupatwa kwa MweziMapenziDizasta VinaPandaVipera vya semiJinsiaMfumo wa JuaVivumishi vya pekeeKanzuMaradhi ya zinaaBendera ya KenyaAustraliaUtamaduniZabibuKoffi OlomideOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaJumamosi kuuChuraAndalio la somoPasifikiUturukiTabianchiDawa za mfadhaikoAsiliMbossoMsamiatiOrodha ya viwanja vya ndege nchini Tanzania🡆 More