Wiki ya Kidenmark ni toleo la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kidenmark.
Wikipedia hii, iliazishwa mnamo tar. 1 Februari katika mwaka wa 2002. Na kwa tar. 28 Desemba 2008, Wikipedia hii imefikisha zaidi ya makala 100,000. Kutokana na Kidenmark kuwa lugha inayoingiliana na Kiswidi na Kinorwei, wasimamizi wa mitandao hushirikiana kwa heshima ya mitandao yao ya Wikipedia kwa kupitia Skanwiki sehemu ya mtando wa Wiki mashuhuri kama Meta-Wiki.
Kisara | http://da.wikipedia.org/ |
---|---|
Ya kibiashara? | Hapana |
Aina ya tovuti | Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti |
Kujisajiri | Hiari |
Lugha asilia | Kidenmark |
Mmiliki | Wiki Foundation |
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wiki ya Kidenmark kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Wikipedia ya Kidenmark, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.