Mbaga Tuzinde

Mbaga Tuzinde (+ Namugongo 3 Juni 1886) ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda.

Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II (1884 - 1903) ambao waliuawa kati ya tarehe 15 Novemba 1885 na tarehe 27 Januari 1887 kwa sababu ya kumwamini Yesu Kristo baada ya kuhubiriwa Injili na Wamisionari wa Afrika walioandaliwa na kardinali Charles Lavigerie.

Hawa ndio wafiadini wa kwanza wa Kusini kwa Sahara kuheshimiwa na Kanisa Katoliki kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Juni.

Tazama pia

Tanbihi

Mbaga Tuzinde  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

18863 JuniKanisa KatolikiMfiadiniWafiadini wa UgandaWakristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Meno ya plastikiUongoziWabunge wa Tanzania 2020Orodha ya Marais wa MarekaniSilabiUislamuMnururishoMuungano wa Tanganyika na ZanzibarNominoBaraza la mawaziri TanzaniaMbossoMadawa ya kulevyaHomoniUkooSaidi Salim BakhresaMazingiraKoloniUhakiki wa fasihi simuliziAnwaniIntanetiDemokrasiaMajina ya Yesu katika Agano JipyaUtumbo mwembambaViwakilishi vya kumilikiShangaziUpepoMbadili jinsiaNikki wa PiliJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMahakama ya TanzaniaVielezi vya mahaliMr. BlueBinadamuKipindupinduVielezi vya idadiNafsiKiboko (mnyama)MaishaUkristo barani AfrikaPasakaNimoniaUtendi wa Fumo LiyongoAustraliaIsimujamiiVisakaleSomo la UchumiMkoa wa DodomaFamiliaMillard AyoAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMvuaOrodha ya kampuni za TanzaniaTanganyika (maana)Haki za wanyamaImaniHistoria ya KiswahiliMwenge wa UhuruUrusiVivumishi vya idadiMuhammadHalmashauriMkunduMishipa ya damuBenderaNdovuKilimanjaro (volkeno)Viwakilishi vya urejeshiKiambishi awali🡆 More