Mariolojia ya Kianglikana inajumlisha mitazamo mbalimbali ya theolojia ya Wakristo wa Ushirika la Anglikana kuhusu Bikira Maria, Mama wa Yesu.
Hadi sasa Ushirika wa Anglikana unashika mafundisho ya mapokeo yaliyotolewa na mitaguso ya kiekumeni na baadhi humheshimu Bikira Maria kuliko namna inavyokubaliwa na baadhi ya wenzao na Waprotestanti, hasa ya madhehebu yaliyoanzishwa Marekani katika karne za mwisho
Katika Majadiliano ya kiekumeni kuhusu Maria Waanglikana na Wakatoliki waliweza kukubaliana kwa kiasi kikubwa sana.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mariolojia ya Kianglikana, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.